Mpendwa rafiki yangu, Karibu misingi ya dini nyingi hapa duniani zinadai haki. Falsafa ya ustoa nayo inadai haki hivyo kila mmoja wetu anapenda kutendewa haki kwa kile alichokifanya. Kumnyima mtu haki yake ni kumnyima uhuru wa maisha yake. Licha ya watu wengi kudai haki karibu maeneo mengi ya maisha yetu tunabidili tuzingatie kitu kimoja. Tunapaswa …
Jinsi Ya Kumlinda Mwenza Wako Katika Maisha Ya Ndoa
Mpendwa rafiki yangu, Katika karne hii ili uweze kubaki salama katika mahusiano yako ni kuwa mwaminifu sana. siyo tu kuwa mwaminifu tena ikiwezekana uwe na kisima chako mwenyewe na kama unataka kunywa maji basi unyewe maji ya kisima chako mwenyewe. kwa sababu visima vingine hujui nani kapita na wala hujua kama maji unayokunywa ni salama …
Continue reading "Jinsi Ya Kumlinda Mwenza Wako Katika Maisha Ya Ndoa"
Akili Yako Iwaze Kitu Hiki Ili Uwe Na Mafanikio Makubwa
Mpendwa rafiki yangu, Tunatakiwa kuchunguza sana mawazo yetu pale tunapokuwa peke yetu. kuna wengine wanakosa uhuru wa maisha yaani hawawezi kujitawala ipasavyo hivyo wanaruhusu akili kuwaza chochote kile hata yale ambayo ni hasi kwake. Habari njema ni kwamba tumepewa uhuru wa kutawala mawazo yetu ni kitu ambacho kipo ndani ya uwezo hivyo tunatakiwa kutawala kitu …
Continue reading "Akili Yako Iwaze Kitu Hiki Ili Uwe Na Mafanikio Makubwa"
Njia Pekee Ya Kurudisha Uhusiano Wa Awali
Mpendwa rafiki yangu, Sisi ni viumbe wa mahusiano na tunaishi katika mahusiano. Hakuna hata mmoja wetu ambaye hayuko katika mahusiano. Wanasema kuishi na watu ni kazi ni kweli kabisa kuishi na watu ni kazi hivyo mahusiano mengi yanakuwa yanachangamoto kwa sababu kila mtu ana tabia yake. Unaweza kumfundisha mtu kazi lakini huwezi kumfundisha mtu tabia. …
Continue reading "Njia Pekee Ya Kurudisha Uhusiano Wa Awali"
Faida Za Kujiwekea Mipaka Kwenye Maisha Yako
Mpendwa rafiki yangu, Watu wengi wana changamoto ya kiasi yaani wanashindwa kuna na nidhamu ya kuwa na kiasi katika maisha yao. Ukishindwa kuwa na kiasi basi umeshindwa kuwa na mipaka. Watu wengi hawana mipaka wanaishi tu na usipokuwa na mipaka fulani katika maisha ni rahisi sana kupata hata kile ambacho hukutegemea kupata. Unatakiwa kuwa na …
Continue reading "Faida Za Kujiwekea Mipaka Kwenye Maisha Yako"
Huu Ndiyo Muda Ambao Hauna Foleni Kabisa Kwenye Maisha Yako
Mpendwa rafiki yangu, Kwa wale wanaoishi katika majiji kitu kinachoitwa foleni imekuwa ni kitu cha kawaida sana. lakini mimi siko hapa kukushirikisha foleni ya barabarani. Muda wetu umekuwa mfupi sana na mambo ya kufanya ni mengi sana tunajikuta tunajiambia tutafanya kesho na kesho imekuwa kesho mpaka mwaka unaisha. Mambo siyo marahisi kama unavyofikiria ila inawezekana …
Continue reading "Huu Ndiyo Muda Ambao Hauna Foleni Kabisa Kwenye Maisha Yako"
Hii Ndiyo Bidhaa Ambayo Huruhusiwi Kununua Ukienda Sokoni
Mpendwa rafiki yangu, Natumaini kila mmoja wetu ananunua na linapokuja suala la kununua hisia zinakuwa mbele kuliko fikra. Watu wengi wanapoteza fedha nyingi katika manunuzi ambayo hayana tija. Unapokwenda sokoni au kununua kitu chochote unatakiwa uwe makini sana la sivyo utajikuta unanunua hata vile ambavyo hukupanga na kuja kushtuka fedha imeisha. Hivyo basi, unapoenda kufanya …
Continue reading "Hii Ndiyo Bidhaa Ambayo Huruhusiwi Kununua Ukienda Sokoni"
Kitu Cha Kutomnyima Mtoto Katika Malezi
Mpendwa rafiki yangu, Wazazi wengi wanawapenda watoto wao na hilo ni jambo zuri mzazi kuwajibika katika swala la upendo. Tunawalea watoto utafikiri kama vile tutaishi nao milele tuna watukuza watoto kwa kuwapa kile wanachotaka katika maisha yao. Watoto wamekuwa wanawaendesha wazazi wakisema wanataka kitu fulani wazazi wasipokuwa nacho basi hapo nyumbani mtoto atasusa na wazazi …
Sehemu Pekee Itakayokufundisha Nidhamu Ya Fedha.
Mpendwa rafiki yangu, Linapokuja suala la fedha basi watu wengi nidhamu binafsi juu ya fedha hawana. Watu wakiwa hawana fedha, wanakua na mipango mizuri sana lakini wakishazipata fedha hizo ile mipango yote mizuri inapotea. Wengi wanalalamika kuwa wakipata fedha haikai na pale fedha inapoisha ndiyo akili huwa inarudi. Kuna kile kiwango cha fedha ambacho watu …
Continue reading "Sehemu Pekee Itakayokufundisha Nidhamu Ya Fedha."
Huyu Ndiye Adui Mkubwa Wa Kupambana Naye
Mpendwa rafiki yangu, Kila mmoja wetu anatamani kuwa na maisha mazuri na kupata kile anachotaka. Lakini, wengi tunataka mabadiliko yatokee katika maisha yetu huku tukiwa tumebaki kama tulivyo. Kwa mfano, mtu anataka apungue uzito huku akiwa anataka abaki vile vile bila kubadilisha mfumo wa maisha yake. Najua unapambana kila siku je unapambana na adui gani? …