Mpendwa rafiki yangu Wengi huwa tunapenda kuwafuatilia watu lakini watu tunaowafuatilia huwa hawaleti matokeo makubwa katika maisha yetu binafsi. Juhudi wanazoweka watu kufuatilia mambo ya watu ni kubwa ukilinganisha na kujifuatilia wao wenyewe. Leo achana na mambo ya watu halafu anza kujifuatilia wewe mwenyewe. jifuatilie yale uliyopanga kufanya umeyafanya na kama bado unapata wapi muda …
Continue reading "Huyu Ndiye Mtu Unayepaswa Kumfuatilia Siku Hii Ya Leo"