Mpendwa rafiki yangu, Hakuna mtu anayeamka na kujua kuwa leo anakwenda kukutana na changamoto gani huko mbeleni. Hatujui hata dakika za mbele yetu nini kitatokea lakini nguvu yetu iko sasa na siyo wakati ujao. Unaweza kujivunia kile ambacho unacho sasa na siyo kile ambacho huna unakitegemea huko mbeleni. Huwa tunajiandaa kwa mazuri tu na tunasahau …
Continue reading "Usisahau Kutembea Na Fedha Hii Kule Unakokwenda"