Mpendwa rafiki yangu, Mtu ambaye hapendi kufanikiwa huenda akawa anatatizo la akini. Ni asili ya kila mmoja wetu kupenda vitu vizuri hata hivyo kiimani Mungu ametujalia mambo mazuri. Hatuwezi kula mambo mazuri pasipo kufanya mambo ambayo yatatupeleka katika kile tunachotaka. Kam unataka bora,lazima ukubali kupoteza kitu kizuri ili upate bora. Ndivyo ilivyo, unapenda kufanikiwa hivyo …
Continue reading "Kama Unataka Kufanikiwa Katika Jambo Fulani Fanya Maamuzi Haya Mawili"