Mpendwa rafiki yangu, Tuna muda mfupi sana hapana duniani wa kufanya yale muhimu lakini siyo kufanya kila kitu kinachojitokeza katika maisha yako. unapoianza siku yako unatakiwa kuwa na ratiba ya ushindi ambayo umeandika mambo unayopaswa kuyafanya ndani ya siku husika. Hivyo, yakijitokeza mambo ambayo hayapo katika ratiba yako wala hata usihangaike nayo ni usumbufu tu …
Continue reading "Kitu Ambacho Hakitokusaidia Kubadilisha Maisha Yako"