Jinsi Ya Kufanya Kazi Yoyote Kuwa Rahisi

Kazi ndiyo msingi wa maendeleo. Mafanikio tunayotaka yanakuja kama tukiwa tunafanya kazi, mtu ambaye hafanyi kazi atanuka na hivyo hakuna mtu ambaye atapenda kukaa na mtu anayenuka. Kila na afanye kazi , kwa namna hiyo dunia itazidi kupendeza. Kama mtu ni mvivu na anataka maendeleo lakini anamkimbia kazi basi mwambie asahau kuhusu mafanikio. Kazi ni …

Tafakari Ya Juma La Kwanza Mpaka La Tatu Ndani Ya Mwezi Wa Kwanza Mwaka 2019 Na Mambo Ishirini Niliyojifunza

Mpendwa rafiki yangu, Hongera sana kwa zawadi ya kuishi majuma matatu ya mwezi wa kwanza katika mwaka 2019. Ukiona bado unavuta pumzi ujue umeachwa kwa kusudi fulani hivyo itumie hiyo nafasi uliyopata kufanya maisha yako na dunia kwa ujumla kuwa sehemu salama ya kila mmoja wetu. Ni majuma mawili yaliyopita tulikuwa tuna hamasa kubwa ya …

Haya Ndiyo Maisha Ya Ajabu Kuishi

Mpendwa rafiki yangu, Tuna uhakika wa kwamba , hakuna maisha ambayo hayana changamoto. Hakuna wito ambao hauna changamoto. Unaweza kuona maisha ya mtu fulani ni mazuri, au wito fulani ni mzuri kumbe hakuna sehemu ambayo ni salama kwa kila kitu. Kila siku tunakoseana, tunajeruhiwa na watu na kuumia mioyo yetu. Tunakuwa ni watu wa kubeba …

Kama Mwaka 2018 Ulishindwa Kufanikiwa Malengo Yako Usiache Kusoma Makala Hii

Mpendwa rafiki yangu, Dunia ya sasa ina mambo mengi. Kama mtu huna kitu cha kusimamia lazima utapeperushwa na upepo. Maisha yatakuwa magumu sana kama utataka kuishi kama vile watu wanavyotaka wao. Na siyo kama vile unavyotaka wewe. Uhuru wa maisha ni kuishi vile utakavyo wewe lakini siyo kuvunja sheria na kwenda kinyume na mapenzi ya …

Jinsi Ya Kumwandaa Mtoto Wako Kuwa Mwekezaji Na Tajiri Mkubwa Wa Baadaye

Mpendwa rafiki yangu, Kama una mtoto au unatarajia kuwa na mtoto bado una nafasi nzuri sana ya kumfanya mtoto wako kuwa mwekezaji na tajiri mkubwa sana wa baadaye. Sifa moja wapo ya uwekezaji ni  muda, kadiri unavyoanza kuwekeza mapema ndiyo uwezekano mkubwa wa kufanikiwa unaongezeka. Wazazi ni wajibu wenu kuwafundisha watoto misingi ya fedha tokea …

Jinsi Ya Kujifunza Kuwa Mtu Makini Katika Maisha Yako

Rafiki, Umakini umekuwa changamoto kubwa kwa watu wengi zama hizi. Tunafanya mambo mengi kwa hisia na siyo kutumia akili na kuweka umakini mkubwa. Kazi nyingi zinazozalishwa zinakuwa zina makosa makubwa kwa sababu tu ya kukosa umakini mkubwa kwenye kile tunachofanya. Watu wana mambo mengi, akili haijatulia inaruruka kama vile nyani kutoka mti huu mpaka mti …

Hakuna Kitu Kinachoshindikana Kwa Mtu Huyu

Mpendwa rafiki, Huwa tunasababu nyingi sana pale tunapotaka kuanza kufanya kitu, binadamu wamekuwa ni watu wa sababu kwanini hawezi na siyo kwanini wanaweza. Huwa tunajionea huruma sana katika maisha kwa kukimbia kazi na kuchagua kufanya vile vitu rahisi. Asili ya kila binadamu ni kazi, binadamu ambaye hataki kazi hana sifa za kuwa binadamu. Huwezi kuishi …

Hawa Ndiyo Watu Wanaohamasisha Watu

Mpendwa mwanamafanikio, Hakuna mtu anayehamasika na mtu ambaye anafanya mambo madogo au anahamasika kwa mtu aliyefeli. Tulishajifunza kuwa unatakiwa kujifunza sana katika yale uliyofanikiwa na siyo yale uliyoshindwa. Dunia huwa inapenda kuhamasika na watu wanaofanya makubwa, watu wenye maono makubwa ambao wamechukua hatua kubwa. Watu wanapenda kufanya kazi au kumfuata mtu anayewahamasisha kwa kitu fulani,na …

Huu Ndiyo Uhai Wa Biashara Yoyote Ile

Rafiki, Hata kama hufanyi biashara ila kila mtu ni mfanyabiashara. Na kila kitu tunachofanya ni biashara iwe umejiajiri au umeajiriwa kwa sababu chochote unachofanya unafanya kwa ajili ya mwingine. Utahitaji kumuazia mtu kile ulichozalisha. Kiasili hakuna kitu ambacho kinafanyika nje ya mfumo wa biashara. Kama tulivyo sisi binadamu tukikosa uhai basi maana yake hatuna maisha. …

Hili Ndiyo Eneo Lenye Utajiri,Fedha Na Mafanikio Makubwa

Rafiki, Kama umeamka na hujui nini unatakiwa kwenda kufanya rudi kitandani ukalale. Hivi mpaka leo hii kuna mtu bado hajajua kusudi la maisha yake? Kama bado hujajua kusudi la maisha yako basi nakusihii sana usome kitabu kinachoitwa ONGEA LUGHA YAKO, SAUTI YAKO YA NDANI NDIYO MAFANIKIO YAKO.  Hivyo kuwa huru kuwasiliana na mimi ili uweze …

Design a site like this with WordPress.com
Get started