Kabla Hujaenda Kulala Hakikisha Unajivunia Jambo Hili Moja

Rafiki, Hakuna mtu anayeamka na kujua atakwenda kukutana na nini katika siku yake.  Hivyo basi mara nyingi siku inakuwa na mambo mengi, hata kufanikisha kile ulichopanga kufanya ni jambo la kushukuru sana maana kila siku huja na mambo yake ambayo mengine yapo nje ya uwezo wetu. Licha ya changamoto zote za siku, na kama tunavyojua …

Hata Kama Una Kipato Kikubwa  Kiasi Gani Ishi Maisha Haya

Haijalishi unalipwa kipato kikubwa kiasi gani, unaingiza sana fedha ila ukikosa kitu ambacho nakwenda kukushirikisha hapa wewe utakua ni masikini tu. Kuna watu wanakusanya kweli pesa lakini wanatumia zote wanabakiwa watupu wakiwa hawana kitu. Unapata elfu kumi unatumia yote elfu kumi,kwa mtindo huo utaweza kutoboa? Ili ufanikiwe eneo la fedha unahitaji kujua mchezo wa fedha. …

Chanzo Cha Matatizo Mengi Ni Hiki Hapa

Tumepewa masikio mawili ili tuweze kusikiliza mara mbili. Angalia katika mwili wako kuna viungo ambavyo umepewa viwili na kingine kimoja. Viungo ambavyo tumepewa viwili hatuvitumii vizuri kabisa lakini vile ambavyo haviko zaidi ya kimoja ndiyo unatakuta tunavitumia vizuri kweli. Kwa mfano, mdomo. Tumepewa mdomo mmoja maana yake tunatakiwa kukaa kimya sana kuliko kuongea lakini ndiyo …

Kama Umeshawahi Kufanya Kosa Lolote Lile Soma Hapa

Mpendwa rafiki yangu, Ni nina ushahidi mkubwa kuwa kila mmoja wetu katika maisha yake ameshawahi kukosea kwa nmna moja au nyingine. Kukosea ni asili ya binadamu. Binadamu tuna udhaifu sana katika kukosea na katika kukosea ndiyo tunajifunza na kuwa imara. Hakuna aliyekamilika kwa asilimia mia moja sisi sote tuna udhaifu wa kibinadamu. Mara nyingi pale …

Kwenye Jambo Lolote Hakikisha Unakuwa Na Kitu Hiki

Mpendwa rafiki yangu, Mara nyingi kila kitu hapa duniani kinaongozwa na kanuni za asili. Huwa tunapokuwa tunakwenda kufanya kinyume na kanuni za asili, asili huwa inatuadhibu vibaya bila huruma. Kila kitu kwenye maisha yetu kinahitaji kiasi. Na kiasi ndiyo asili sasa ya dunia. Tunapozidisha sana asili huwa haituachi salama. Hebu angalia sana, yule anayekula sana …

Watu wanasema nini juu yako?

Mpendwa rafiki, Kwa kila binadamu aliyehai basi hakuna ambaye hasemwi kwa namna yoyote ile, kama husemwi basi ujue umeshakufa. Ambaye hana changamito ni yule aliyelala kaburini lakini kama unaishi bado utahusika na mengi. Watu milioni 50 wakisema jambo la kipumbavu bado ni jambo la kipumbavu alisema Anatole France.  Watu wakikusema vibaya kama sivyo ulivyo hata …

Haya Ndiyo Majibu Mazuri Kwa Mtu Anayekuambia Huwezi

Mpendwa rafiki yangu, Kitendo cha kuzaliwa tu duniani ni tiketi ya kusema kuwa wewe ni mshindi na umezaliwa kushinda. Mara nyingi jamii na walimu wengi mwenye mtazamo hasi hawawajengei watu uwezo wa kujiamini. Kila mtu anaweza ndiyo maana tuko hapa duniani. Kila mtu ni sehemu tone la bahari, na haya matone yetu kwa pamoja ndiyo …

Hii Ndiyo Njia Ya Uhakika Ya Kuchelewa

Mpendwa rafiki yangu, Zawadi pekee ambayo tumepewa bure hapa duniani ni muda. Hakuna mtu anayeweza kuongeza hata dakika moja ndani ya masaa haya ishirini na nne. Bila muda hatuwezi kutimiza mipango mizuri tuliyokuwa nayo. Kila mmoja wetu anategemea muda ili aweze kufanya kile anachotaka kufanya. Ni kawaida kwa watu wengi kuchelewa maeneo mengi ya maisha …

Vitu Vitatu Ambavyo Hupaswi Kuviamini  Kwenye Maisha Yako

Imani tuliyonayo ndiyo inatufanya tuwe hivi tulivyo leo. Maisha ni imani na kila mtu anaongoza maisha yake kadiri ya imani yake.  Unafanya hicho unachofanya leo kwa sababu una imani nacho na kama ungekuwa huna imani nacho usingeweza  kukikifanya. Viko vitu ambavyo hatupaswi kuviamini kwa asilimia mia moja katika maisha yetu. Muda mwingine tunaweka maisha yetu …

Huyu Ndiyo Adui  Mkubwa Wa Ukarimu

Mshumaa haupotezi chochote kwa kuwasha mshumaa mwingine. Asiyepoteza haokoti ni methali ya kitanzania. Ni katika kutoa ndiyo tunapokea. Tunaalikwa kutoa sana kuliko kupokea, wako watu ambao wamekuwa kama bahari iliyokufa yaani dead sea wao kazi yao ni kupokea tu kutoka kwa wengine lakini wao hawatoi. Kuna msemo mwingine unasema, kutoa ni moyo wala siyo utajiri. …

Design a site like this with WordPress.com
Get started