Mpendwa rafiki yangu, Mtu mmoja aliwahi kusema ni rahisi kuwaswaga kondoo na wakaenda katika mstari mmoja lakini ni ngumu kuswaga paka wakaenda katika mstari mmoja. Kuwaongoza binadamu ni kama vile paka, kila mtu atakwenda njia yake anayojua yeye, lakini kondoo ni rahisi sana kuwaongoza kwani wanafuata mstari mmoja tu. Katika maisha tunatakiwa tusiwe kama kondoo, …
Continue reading "Usiwe Mtu Wa Namna Hii Katika Maisha Yako"