Rafiki yangu, Kama huna tatizo unalotatua ni rahisi sana kusema hali ngumu siku hizi. Dunia haijawahi kubadilika hivyo kama hali ni ngumu sasa hivi vipi kipindi cha nyuma mbona hukiweka vizuri ili sasa usipate shida? Utamkuta mtu anakuambia awamu hii vyuma vimekaza, je kipindi cha nyuma hali ilikuwaje? Ina maana watu walikuwa wanapata mafanikio kirahisi? …
Huu Ndiyo Ukweli Unaofichwa Kwenye Kilevi
Rafiki yangu, Natumaini umeshawahi kuona au kusikia mtu akilewa baada ya kutumia kilevi huwa anaongea vile anavyojua yeye kadiri ya kilevi kinavyomtuma. Unaweza kujiuliza je yale maneno anayokuwa anayaongea mtu baada ya kulewa ni kweli au si kweli. Mtu anaweza kuwa mstaarabu sana pale anapokuwa hajanywa pombe lakini akinywa na kulewa ataanza kuongea vitu vya …
Continue reading "Huu Ndiyo Ukweli Unaofichwa Kwenye Kilevi"
Jambo La Kuzingatia Pale Unapokuwa Unaongea Mbele Za Watu
Rafiki, Kila binadamu yuko katika sekta ya mauzo. Hivyo unapokuwa unaongea mbele ya watu unakuwa unauza mawazo yako kwa wengine. Kila mmoja wetu ana kitu ndani yake, hivyo tunatumia mauzo kama sehemu ya kuweza kuwauzia wenzetu kile ambacho tunacho ndani yetu. Unapoamka mpaka unaporudi kulala, unakua unafikiria mauzo, ufanye nini ili uweze kuuza na kupata …
Continue reading "Jambo La Kuzingatia Pale Unapokuwa Unaongea Mbele Za Watu"
Hii Ndiyo Faida Ya kuwa Mwaminifu Kwenye Kile Unachofanya
Mpendwa rafiki yangu, Sisi binadamu tunatabia ya kuwa wanafiki, kuna watu tukiwa nao tunajifanya waaminifu na watu wema. Lakini kuna watu tukikutana nao wala hatuwapi heshima kama tuliyokuwa tunawapa watu wa mwanzo. Huu ni ukinyonga sasa, kwanini mtu mmoja uwe na badilika? Rafiki, kama umeamua kuwa mwema basi kuwa mwema kwa watu wote, na wala …
Continue reading "Hii Ndiyo Faida Ya kuwa Mwaminifu Kwenye Kile Unachofanya"
Njia Bora Ya Kutokuangushwa Na Watu Kwenye Suala La Fedha
Rafiki, Fedha ni jawabu la mambo yote. Ni muhimu katika maisha yetu ya kila siku. Hakuna ubishi juu ya fedha kama ni muhimu au la. Fedha ndiyo inalipa bili katika maisha yetu hivyo ukisema fedha siyo muhimu huenda akili yako haiko sawa. Njia bora ya Kutokuangushwa na watu katika suala la fedha ni kutotegemea fedha …
Continue reading "Njia Bora Ya Kutokuangushwa Na Watu Kwenye Suala La Fedha"
Kama Umechoka Maisha Unayoishi Sasa
Rafiki yangu, Jinsi maisha yetu yalivyo sisi ndiyo tumekubali yawe jinsi yalivyo. Hakuna mtu wa kubadilisha maisha yetu kuwa vile tunavyotaka kuwa isipokuwa sisi wenyewe. Sisi ndiyo wakurugenzi wa maisha yetu. Hivyo kama kuna kitu tunataka kukibadilisha tunakibadilisha haraka sana. Kama umechoka na maisha unayoishi sasa chukua hatua ya kuyaweka vile unavyotaka wewe. Mambo hayawezi …
Ili Ufanikiwe Kwenye Kile Unachofanya Unatakiwa Uwe Na Kitu Hiki
Rafiki yangu, Katika mafanikio kuna mambo mengi sana. Mpaka unamuona mtu ana simama ujue amepitia mengi. Kuna maumivu ndani yake ambayo mtu anayavumilia mpaka pale anapopata ushindi. Ili tuweze kufanikiwa kwenye kile tunachofanya lazima tuwe na watu wa namna hii ambao ni; Tuwe na watu ambao wanajali kile tunachofanya. Kama hutoweza kupata watu wanaojali, bidhaa …
Continue reading "Ili Ufanikiwe Kwenye Kile Unachofanya Unatakiwa Uwe Na Kitu Hiki"
Faida Moja Ya Kuhudumia Watu
Mpemdwa rafiki yangu, Wito wetu uko katika kuhudumia watu. Tunapohudumia watu tunapata kutimiza amri kuu ya upendo na kuishi maisha yenye maana. Je ulishawahi kujiuliza upendo wa kweli unapatikana wapi? Upendo wa kweli unapatikana katika kuhudumia watu. Kumbe basi, tunapohudumia watu tunapata upendo wa kweli. Faida ya kuhudumia watu ni upendo wa kweli. Bila kuwahudumia …
Kitu Ambacho Hutakiwi Kukizoea Hata Siku Moja
Kila siku unatakiwa kuwa mpya kwenye kile unachofanya. Haijalishi umefanya kwa muda gani ila hutakiwi kukizoea kile unachofanya. Ona kile unachofanya ni kama siku yako ya kwanza kufanya. Tunapokuwa na hali ya mazoea tunashindwa kufanya makubwa kwa sababu ya mazoea tunayoweka. Ogopa kuwa kawaida kwenye kile unachofanya. Kuwa mtu makini unapofanya kitu kifanye bila kuweka …
Continue reading "Kitu Ambacho Hutakiwi Kukizoea Hata Siku Moja"
Fuata Sheria Elekezi Za Sehemu Hii na Utafanikiwa sana
Huwa tunashindwa katika maisha kwa sababu ya kutotii sheria elekezi za sehemu husika. Maisha ni kama mchezo na kila mchezo huwa unakuwa na sheria elekezi za mchezo husika. Kwa mfano, kwenye mpira wa miguu, ukicheza kwa mikono utapewa adhabu kama wewe siyo goli kipa. Tukija katika biashara ziko sheria na misingi elekezi ya biashara ambazo …
Continue reading "Fuata Sheria Elekezi Za Sehemu Hii na Utafanikiwa sana"