Usimwadhibu Mtoto Hili Siyo Kosa Lake

Mpendwa rafiki yangu, Watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu. Hakuna mtu anayeandika barua ya kuomba kuwa na mtoto bali mtoto ni matunda ya ndoa. Kama sisi wote tulikuwa watoto, tulizaliwa hatujui kitu. hivyo vitu vingi ambavyo unajua leo ni kwa sababu umejifunza au umefundishwa. Kwa mtoto ambaye uko naye sasa kama hajui kitu hilo siyo …

Hii Ndiyo Staili Bora Ya Kudai Haki Yako

  Sisi binadamu ni viumbe wa kutegemeana, kila mmoja anamtegemea mwenzake. Na hakuna ambaye anajitosheleza kwa kila kitu. Kumbe basi, tunaweza kusema kuwa kujitegemea siyo kujitosheleza.  Vitu vingi tunavyohitaji viko kwa wengine, hata kama unataka haki ya kitu fulani utaipata kutoka watu wenye mamlaka hiyo. Tunapokuwa tunadai haki zetu kutoka kwa wengine, tunatakiwa kuwa na …

Hii Ndiyo Dawa Ya Mtu Ambaye Hataki Kusikia Kile Unachomwambia

Mpendwa rafiki yangu, Waswahili wanasema kuwa asiyesikia la mkuu huvunjika guu. Ni kweli kama husikii lile unaloambiwa lazima dunia itakuadhibu. Mtu ambaye hasikii lile analoambiwa na mkuu wake mwisho wake huwa unakuwa ni majuto. Pia, waswahili walisema, asiyefunzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu. Kumbe, kama wewe ni mzazi humfundishi mtoto wako kukaa katika maadili au …

Kabla Hujanunua Kitu Chochote Leo Soma Hapa Kwanza

Mpendwa rafiki yangu, Ni kawaida yetu sisi binadamu kuongozwa na hisia kuliko akili. Hata maamuzi mengi tunayofanya kila siku ni hisia na baada ya kufanya kwa hisia baadaye tunakuja kuhalalisha mawazo yetu kwa akili. Watu wengi wamekuwa wananunua vitu kwa hisia, wengine wanatumia fedha ambazo hawana yaani kukopa ili kuwafurahisha watu wasiojali. Leo kabla hujanunua …

Matatizo Yako Yana Afadhali Kuliko Ya Mwingine

Mpendwa rafiki yangu, Zamani watu wakitaka kujinyonga walikuwa hawajinyongi sehemu yoyote tu, ila walikuwa wanaenda kwenye sehemu maalumu. Sehemu ambayo kuna mazingira rafiki kwa wao kuweza kujinyonga. Mama mmoja alikuwa na watoto wanne, watoto hao wanne walikuwa wanamsumbua sana mama yao.  Watoto walimtesa mama yao hivyo mama yao akajisemea ya nini kujitesa na watoto ni …

Kama Bado Unamtafuta Mtu Wa Kubadilisha Maisha Yako Soma Hapa

Mpendwa rafiki, Hakuna mtu anayekosa usingizi kwa sababu ya maisha yako, kila mmoja wetu yuko bize na mambo ambayo yanamchanganya kwenye maisha yake. Wako ambao wanasubiria serikali ibadilishe maisha yao, wako ambao wanasubiria wazazi wao wabadilishe maisha yao. Kusubiria watu wengine waje kubadili maisha yako ni kujiandaa kushindwa katika maisha yako. Maana watu wengi wamepoteza …

Jinsi Ya Kuishinda Hofu Ya Kuongea Mbele Ya Watu

Kila mmoja wetu ni muuzaji. Hivyo katika kuuza lazima ujifunze sana namna ya kuongea na watu vizuri ili waweze kukuelewa kile unachouza. Watu wengi wanafikiria kuuza ni mpaka uwe na bidhaa hapana, hata kuwa tu na wazo lako na ukaweza kushawishi wengine hapo tayari umefanikiwa kumuuziwa mawazo yako. Kuuza ni kumshawishi mtu aweze kukubaliana na …

Hizi Ndiyo Hisia Mbili Zinazowatawala Watu Wengi

Mpendwa rafiki yangu, Sisi binadamu ni viumbe wa hisia, na karibu maisha yetu ya kila siku yanaendeshwa na hisia, huwa tunafanya maamuzi kwa hisia mara nyingi sana lakini tunakuja kuhalalisha kwa kufikiri, ukitaka kuamini hilo angalia ni vitu vingapi unavyo ndani ulinunua tu kwa hisia na kwa sasa wala hata huvitumii. Vitu vingi tunavyofanya tunakua …

Hiki Ndiyo Kitu Chenye Nguvu Sana Katika Karne Ya 21

Mpendwa rafiki yangu, Tukiachana na pumzi hii tunayovuta kila siku basi kipo kitu ambacho ni muhimu sana baada ya pumzi. Na kitu hicho siyo kingine bali ni fedha. Fedha  ina ngumu sana katika maisha yetu. Licha tu ya kuwa na nguvu bali fedha ni muhimu sana katika maisha yetu. Fedha inakubalika kwenye kila eneo la …

Maswali Matatu(03) Ya Kujiuliza Kila Siku Ya Maisha Yako

Mpendwa rafiki yangu, Mmoja kati ya waasisi wa taifa la marekani Benjamin Franklin  aliwahi kusema kulala mapema na kuamka mapema inaleta afya,hekima na utajiri. Kumbe katika maisha tunapopangilia muda wetu vizuri tunapata faida sana. wengine watakuambia mpaka wanakosa muda kumpumzika hii yote siyo kwa sababu ya muda bali kukosa vipaumbele. Kama kitu ni muhimu kwako …

Design a site like this with WordPress.com
Get started