Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa umeamka salama tena siku hii ya leo. Leo ni siku nyingine mpya na ya kipekee sana katika maisha yetu kwani kila mtu leo ndiyo mara yake ya kwanza kuiona siku na tarehe kama ya leo kwenye maisha yake tangu …
Continue reading "Misingi Miwili Muhimu Ya Mafanikio Unayotakiwa Kuwa Nayo Katika Maisha Yako"