Hivi unaweza kaa chini na kuweka mipango ya kupata vitu vibaya? Vitu vibaya vinakuja vyenyewe pasipo kutafutwa kwa sababu yule anaye tafuta vitu vizuri anavipata lakini yule ambaye hatafuti vizuri havipati kweli anaishia kupata vibaya. Kila kiumbe kinapambana kutafuta kitu kizuri, kwa sababu kitu kizuri kinakuwa kinampa mtu kile ambacho moyo wake unataka. Vitu vizuri …
Hiki Ndicho Kinachogundua Ukweli
Hakuna hata mmoja wetu anayeweza kuhodhi ukweli, yaani kuumiliki na kusema ni wake hivyo aufiche. Ukweli haufichiki, ukweli uko kama moshi, unapika ndani moshi unatoka nje. Tunaweza kuuficha kwa muda tu lakini yuko bwana mmoja anayefichua na kugundua ukweli wote tunaoficha.Anayeweza kuufichua ukweli wa mambo au jambo lolote lile ni muda. Muda unaponya kila kitu …
Uchambuzi Wa Kitabu; UMEIWEKA WAPI TALANTA YAKO? Je umejiajiri, umeajiriwa au huna ajira?
Kitabu hiki kimeandikwa na Albert Nyaluke Sanga na kuchambuliwa na mwandishi Mwl. Deogratius Kessy Mwandishi anaanza na kusema ;πAjira zinafanana na kuweka fedha benki. Unapochukua talanta zako yaani fedha na kwenda kuziweka benki kwa muda maalumu , tafsiri yake ni kwamba unasema, jamani eeh, mwenzenu nina talanta (fedha) hapa lakini sielewi nitazifanyia nini kwa muda …
Kama Maisha Ya Chini Yamekuchosha Amua Kufanya Hiki Leo
Kama maisha ya chini yamekushinda fanya maamuzi ya kwenda juu. Maisha ya juu ni mazuri, hayana foleni unafanya kile unachotaka lakini maisha ya chini hayakupi kile unachotaka siku zote. Utatoka hapo ulipo kwenda juu endapo utafanya maamuzi ya kwenda juu na kuyachukia maisha ya chini. Siku zote kila kitu kinaanzia chini, ni kaburi tu linaanzia …
Continue reading "Kama Maisha Ya Chini Yamekuchosha Amua Kufanya Hiki Leo"
Jionee Hasara Ya Mtu Ambaye Alikataa Kusamehe
Kama uko hai basi msamaha unakuhusu na huwezi kuukwepa. Watu wako bize kufanya kazi lakini kuna vitu vidogo kama kuishi na vinyongo na kutosamehe vinawatesa kiasi kwamba hawafurahii maisha yao. Msamaha ni kuondoa uchungu uliombika ndani ya moyo. Msamaha ni kuondoa uchafu au sumu ndani ya mwili, kwa mfano vipi kama unakula kila siku halafu …
Continue reading "Jionee Hasara Ya Mtu Ambaye Alikataa Kusamehe"
Fedha Hazibadilishi Tabia Za Wanandoa Bali Zinafanya Hiki
Huwa tunatengeneza tabia na kisha tabia zinatutengenezea sisi. Hakuna mtu aliyezaliwa na tabia ambayo anayo sasa ila tabia zote tumejifunza taratibu mpaka leo hii zimetushikilia tunashindwa kuziondoa. Kila mmoja anatabia yake na ndiyo maana wanandoa wakikutana kila mtu anajaribu kumshepu mwenzake katika tabia anayoina yeye ni sahihi. Tabia nzuri ni ile ambayo haiendi kinyume na …
Continue reading "Fedha Hazibadilishi Tabia Za Wanandoa Bali Zinafanya Hiki"
Uchambuzi Wa Kitabu; UMEIWEKA WAPI TALANTA YAKO? Je umejiajiri, umeajiriwa au huna ajira?
Uchambuzi Wa Kitabu; UMEIWEKA WAPI TALANTA YAKO?Je umejiajiri, umeajiriwa au huna ajira? Na mwandishi Albert Nyaluke Sanga Mchambuzi; Mwl. Deogratius Kessy Utangulizi; UMEIWEKA wapi talanta yako ni kitabu kilichoandikwa na Albert Nyaluke Sanga. Talanta yako ni ujuzi wako, elimu yako, kipawa chako, uzoefu wako na pia karama yako. Talanta iliwekwa kwako ama uliipata kwa lengo …
Hii Ndiyo Njia Bora Ya Kuaminika Na Wengine
Kama unataka kuuza kitu chochote kwa wengine hakikisha kwanza umejenga uaminifu. Watu wanapenda kununua sehemu ambayo ina uhakika. Na uhakika unajengwa mahali ambapo kuna uaminifu wa hali ya juu. Je nawezaje kujenga hali ya kuaminika kwa wengine? Jawabu; Anza kujiamini wewe mwenyewe kwanza. Ukitaka watu wakuamini na wewe hujiamini, mfano mzuri, kama mtu anauza kitu, …
Continue reading "Hii Ndiyo Njia Bora Ya Kuaminika Na Wengine"
Maisha Chanya Hayaletwi Na Akili Hii
Mchezo mzima uko katika akili ya binadamu. Mambo yote tunayoyaona kwa nje basi yalianzia ndani ya akili. Akili ikiyumba na maisha yako yatayumba pia. Akili ikinenepa na mwili wako pia utanenepa. Maisha mazuri yanaletwa na akili chanya. Akili hasi kamwe haiwezi kukupa wewe maisha chanya. Watu huwa hawaamini hili lakini ona ushuhuda katika maisha yako …
Hii Ndiyo Akaunti Unayopaswa Kuilinda Kuliko Zote
Najua kila mtu ana akaunti, wako ambao wana akaunti za akiba, uwekezaji, kazi , biashara na akaunti nyingine zinazofanana na hizo. Leo ninakwenda kinyume na akaunti zote duniani na kukuambia akaunti moja muhimu ambayo huwa hauipi uzito kama akaunti nyingine. Licha ya kuwa akaunti muhimu kuliko zote lakini watu wanaichukulia poa tu. Tuko hapa duniani …
Continue reading "Hii Ndiyo Akaunti Unayopaswa Kuilinda Kuliko Zote"