Asili ya maisha yetu yanaendeshwa katika msingi wa biashara. Huwezi kupata kitu mpaka utoe kitu. Ni ngumu pale unapotaka kumsaidia mtu kitu halafu huna cha kumsaidia. Maisha yetu ni masoko na mauzo. Lazima tutengeneze mazingira ya kile tulichonacho ili kiweze kupokelewa na wengine. Chombo kikubwa cha mfanyabiashara ni thamani. Kama unataka kufanya biashara na huna …
Continue reading "Hiki Ndiyo Chombo Cha Mfanyabiashara Yoyote Yule"