
Memento Mori#2
Death is not the greatest loss in life. The greatest loss is what dies inside us while we live. – Norman Cousins
Kifo kibaya na kikubwa ni kile ambacho watu huwa wanakufa na utajiri ndani yao wakati wakiwa hai.
Kifo siyo kitu kikubwa kama kufa ukiwa hujatimiza ndoto yako ambayo iko ndani yako.
Fikiria vitu vyote unavyotumia vizuri ni vya watu ambao waliamua kufanya kabla hawajaondoka navyo duniani.
Kabla hujalala, jiulize hivi?
Hivi nimeiweka wapi talanta yangu? Je, nimejiajiri, nimeajiriwa au sina ajira, au nipo nipo tu?
Mwl. Deogratius Kessy