MEMENTO MORI..#03
It is not death that a man should fear, but he should fear never beginning to live. – Marcus Aurelius
Sio kifo ambacho mtu anapaswa kuogopa.
Unapaswa kuogopa kwa nini
hujaanza kuishi Maisha yako. Watu wanapoteza muda mwingi katika kufikiria kifo badala ya kuishi maisha.
Usihofie kifo kwa sababu kifo kitakuja kwa namna yoyote ile kitakavyokukuta. Ishi leo kama vile ndiyo siku yako ya mwisho.
Mtu anayeishi leo yake vizuri sana, hana haja ya kuhofia kifo.
Mwl. Deogratius Kessy