
” ujinga ni kufanya kitu kwa mtindo ule ule huku ukitegemea kupata matokeo tofauti.” Usifanye kwa mazoea, fanya kwa kusudi. Jipime kwenye kila unalofanya je,kuna faida unayopata au hasara? Ukiona ni hasara acha kwa sababu hakuna biashara inavyojiendesha kwa hasara bali faida.
Mwl. Deogratius Kessy