Hii Ndiyo Hofu Unayoweza Kuikwepa

Zeno mwanafalsafa wa kistoa aliwahi kunukuliwa akisema, siwezi kukwepa kifo bali; ninaweza kukwepa hofu ya kifo. Usipoteze muda wako kama utaweza kukwepa kifo. Hutaweza ila utaweza kukwepa hofu ya kifo. Hofu ya kifo inaua wengi kuliko hata kifo chenyewe. Wewe ishi maisha yako na kifo kitakukuta kwa namna kitakavyokukuta. Usiache kufanya mambo makubwa kwa kuhofia …

Hii Ndiyo Siku Ambayo Hupaswi Kuiamini

Ni kesho. Siku pekee ambayo unapaswa kuiamini ni leo tena sasa na siyo baadaye. Kila mmoja wetu akiishi kwa moto huo ataweza kufanya makubwa mno. Tunashindwa kuithamini sasa kwa sababu ya kuamini kesho au baadaye si ipo hivyo nitafanya. Wengi wamejikuta mpaka wanakufa wameshajidanganya. Ninakumbuka shairi la malenga wa ubena mwandishi wa kitabu cha Usichoke …

Siyo Kila Mmoja Wetu Anaweza Kufanya Kitu Hiki

Mama Theresa enzi za uhai wake aliwahi kunukuliwa akisema, siyo kila mmoja anaweza kufanya mambo makubwa. Lakini, tunaweza kufanya vitu vidogo kwa upendo mkubwa. Kama umeshindwa kufanya vitu vikubwa basi fanya vitu vidogo kwa upendo mkubwa. Mtu yeyote anayefanya kitu kwa upendo mkubwa atajikuta anafanya mambo makubwa. Kwa sababu huwezi kufanya mambo makubwa kama umeshindwa …

Hiki Ndiyo Kitu Unachotakiwa Kujali

Ni kujali mambo yako binafsi. Maisha ni rahisi kama ukiishi maisha yako. Maisha ya kuangalia wengine wanafanya nini ndiyo yanawapoteza wengi. Kimbia mbio zako mwenyewe, usikimbie mbio za watu wengine. Kila mtu ana mbio zake na huwezi kujua anaenda wapi hivyo ni bora kukimbia mbio zako. Maisha ni mafupi sana, hivyo jali mambo yako binafsi …

Hii Ndiyo Kauli Mbiu Ya Wanandoa

Lengo la kwanza la ndoa ni kufaidiana. Yaani manafuu ya wale wanandoa wanaoana. Wanandoa wanatakiwa wakamilishane, wafarijiane, wasaidiane na wafurahie ndoa yao wawili. Kwa kulijua hilo, sasa karibu tujifunze kauli mbiu ya ndoa. Kauli mbiu ya wanandoa ni kujitoa. Na katika kujitoa kunahusisha kutumikia, kuvumilia, na kusamehe. Katika ndoa unatakiwa ujitoe, usipojitoa ndoa itakushinda. Jitoe, …

Je, Unataka Nikufanyie Nini?

Ukiwa unatoka nyumbani na kwenda stendi kwa ajili ya kusafiri ukifika stendi wale wakata tiketi watakuuliza unaenda wapi? Ukiwajibu hujui unakokwenda hawatakua na habari na wewe bali watakuacha na kutafuta mtu anayejua kule anakokwenda. Katika maisha yetu ya kiimani, ya kawaida kama usiposema unataka nini huwezi kusaidiwa. Kwa mfano, simulizi kutoka kwenye kitabu cha Biblia …

Kiepuke kitu hiki kama ukoma

Kiasili madeni ni utumwa. Kwa sababu utakuwa unatumia fedha zako nyingi kulipa madeni badala ya kufanya uwekezaji. Epuka madeni kama ukoma. Epuka madeni hasi, yale madeni ambayo unakopa kwa ajili ya kula, kununua mahitaji ambayo hayazalishi. Madeni yanakera, yananyima raha. Ni bora ukatengeneza mfumo wa kujiwekea akiba na pale unapokuwa na shida ikakusaidia. Kukopa ni …

Huyu Ndiye Mpenzi Mwenye Wivu

Rafiki yangu Kocha Dr Makirita Amani alishawahi kusema zipende fedha zako. Kwa sababu; Fedha ni kama mpenzi mwenye wivu, akigundua humpendi sana, anakuacha na kwenda kwa wanaompenda. Hivyo basi, kama hutaki kutengana na fedha zako kwa namna yoyote ile zipende sana. Zipende sana fedha zako kwa kuwa makini na pale ambapo fedha zako zipo. Mahali …

Hapa Ndiyo Mahali Unapokwama

Huwa ninafananisha vitu vingi hapa duniani kama mchezo. Kwa mfano, ili uweze kushinda kwenye mchezo wa mpira wa miguu lazima kwanza uujue mchezo ule na kanuni zake. Ukiona unakwama eneo fulani ujue basi huzijui vizuri kanuni za mchezo unaocheza au kitu hiko. Ukiwa unakwama katika familia, jua hujui vizuri kanuni za mchezo wa familia. Ukiwa …

Kuwa Mkali Kwa Mtu Huyu Hapa

Rafiki yangu, Yako mambo mengi tu unashindwa kuyatekeleza kwa sababu ya kukosa nidhamu binafsi. Umekosa kuwa na nidhamu binafsi ndiyo maana mambo mengi huyakamilishi. Wakati unapokuwa na njaa huwa hujali kitu kingine zaidi ya kupata chakula ili ushibe. Unatakiwa kuwa na nidhamu hiyo kwenye kile ulichojiwekea kufanya yaani hutulii mpaka upate kile unachotaka kwenye maisha …

Design a site like this with WordPress.com
Get started