Washukuru Watu Hawa Hapa Kwenye Maisha Yako
Mpaka hapo ulipo leo, kuna watu ambao wamekuwa sababu ya wewe kuwa hapo ulipo. Ziko sababu nyingi za wewe kuwa hapo ulipo leo. Kwenye jambo lolote lile linalotekea katika maisha yako kuna kitu cha kujifunza au kukutoa hapo ulipo leo. Washukuru wale ambao hawakuamini maana watakusukuma kupiga hatua mbele. Vile ambavyo wanaona wewe hauwezi wewe …
Continue reading "Washukuru Watu Hawa Hapa Kwenye Maisha Yako"
Hii Ndiyo Taarifa Ambayo Inauza Sana Kwenye Vyombo Vya Habari
Ni kawaida watu kupenda kusikia habari za kukatisha tamaa kuliko za kuleta matumaini hasa pale mambo yanapokuwa si mazuri. Mwambie mtu kuwa akifanya uwekezaji fulani mwakani atapata faida hata kuelewa na kukuamini. Lakini mwambie ukifanya uwekezaji fulani unakwenda kupata hasara atakuamini na kumsikikiliza mwenye habari hasi. Taarifa ambazo zinauza sana kwenye vyombo vya habari ni …
Continue reading "Hii Ndiyo Taarifa Ambayo Inauza Sana Kwenye Vyombo Vya Habari"
Tafuta Mtu Wa Kukuwajibisha
Kwa sababu sisi binadamu ni wavivu kiasili. Usipokuwa na mtu anayekuwajibisha ni vigumu kuchukua hatua. Kama unaona nidhamu binafsi bado ni tatizo tafuta mtu ambaye atakuwajibisha yaani accountability partner. Mtu ambaye unamweshimu na wala hutoweza kumwangusha hata kidogo. Wakati mwingine unaweza kumpa kiasi fulani cha fedha kwamba akae na hizo fedha usipofanya kitu fulani basi …

Jinsi Ya Kujenga Nguvu Ya Ushindani
Kitu kikubwa cha kujifunza hapa ni kwamba kama huna kitu kinachokutofautisha na wengine, basi huna umuhimu. Huna nguvu ya ushindani na yeyote anaweza kukuangusha na ukaanguka.Mtu asiyekuwa na msimamo, chochote kinaweza kumwangusha. Nguvu ya ushindani inajengwa kwa kujitofautisha, kwa kufanya kile ambacho unaowalenga hawawezi kukipata mahali pengine isipokuwa kwako tu. Unapaswa kujiuliza unaweka juhudi eneo …
Huwezi Kueleweka Na Kila Mtu
Hakuna kazi ngumu sana duniani kama ya kutaka kueleweka na kila mtu. Ukichagua kutaka kueleweka na kila mtu maana yake umechagua kushindwa kabla hata hujaanza kazi. Watu hawajui unachojua, hawaamini unachoamini na hawataki unachotaka. Sentensi hiyo hapo juu isome mara mbili ili ujue watu walivyo badala ya kutaka kueleweka na kila mtu. Lakini, hilo halipaswi …
Usisubiri Mpaka Upate Kile Unachopenda
Iko falsafa ya mafanikio inayosema ukitaka kufanya fanya kile unachopenda. Ni kweli ila siyo watu wanao uwezo wa kuanza kufanya kile wanachopenda kwa sababu vingine vinahitaji mtaji lakini pia vingine hata vile unavyopenda kufanya haviwezi kulipa bili ya kuendesha maisha yako. Unachotakiwa kufanya, ni wewe kuanza kufanya chochote kile hata hukipendi ili kukusanya mtaji wa …
Popote Pale Unapokuwepo Unapaswa Kuwa Na Hiki
Haijalishi unafanya kazi ofisini, kiwandani, dukani au wito wowote ule uliochagua kuishi unahitaji kuwa na uvumilivu.Popote pale ulipo unapaswa kuwa na uvumilivu. Bila uvumilivu sijui kama kuna mtu angeweza kufanikiwa na kile ambacho anacho sasa. Karibu mafanikio yote uliyonayo umefanikiwa kwa sababu ulikuwa na uvumilivu. Kuanza na kumaliza kitu inahitaji ung'ang'anizi na uvumilivu ndiyo maana …
Continue reading "Popote Pale Unapokuwepo Unapaswa Kuwa Na Hiki"