Achana Na Watu Wote, Shirikiana Na Huyu

Mwanafalsafa Seneca, kwenye moja ya barua zake, aliwahi kushauri yafuatayo;Seneca anashauri tuchague kushirikiana na watu ambao wanatusukuma kuwa bora zaidi ya tulivyo sasa.Watu ambao wana ushawishi mzuri kwetu wa kutuboresha zaidi ya vile tulivyo siyo kuchukua watu ambao hata hawakusukumi zaidi ya kukurudisha nyuma. Katika kufanya hivyo tunapaswa kuchunguza imani, mitazamo, fikra na tabia za …

Bidhaa Yenye Soko Sana

Kama unataka kufanikiwa na kufanya vizuri kwenye kile unachofanya basi kuwa na bidhaa yenye ubora. Ubora ndiyo bidhaa yenye soko sana, ukiwa na ubora lazima watu watataka sana kile unachouza. Kwa chochote kile unachofanya, hakikisha unafanya kwa ubora.Kama bidhaa yako ina ubora, mauzo kwako siyo kitu cha kukusumbua. Tengeneza bidhaa yenye ubora kiasi kwamba unateka …

Kuwa Mkweli Kwako Mwenyewe

Kama kitu unaweza kufanya, fanya na kitu huwezi sema ukweli, huwezi. Kwa mfano, mtu anakuja kwako ana shida ya kitu fulani, na wewe huwezi kumsaidia usimpe matumaini ya kuendelea kutegemea kwako na badala yake mwambie ukweli, inawezekana au haiwezekani. Kuwa huru na maisha yako, kumsaidia mtu au kutokumsaidia mtu hiyo ni hiyari yako. Usikubali mtu …

Sala Ya Asubuhi

Najua kila mtu anapoamka huwa anasali sala kadiri ya imani yake. Kuomba ni jambo zuri kwa sababu unakua unajiunganisha na nguvu za asili. Sina uhakika kama itakufaa lakini asubuhi unapoamka kuwa na kauli zako chanya utakazokua unajiambia, siyo tu kujiambia, ziandike na ziseme kisha jirekodi na jisikilize na huo ndiyo unakuwa wimbo wako.Sikiliza wimbo wako …

Ili Mambo Yaweze Kwenda Vizuri Unahitaji Vitu Hivi Viwili

Kwenye maisha lolote linaweza kutokea. Hivyo basi, ili mambo yaweze kwenda vizuri, unapaswa kuwa na ; Kuwa na njia ya mbadala, usitegemee kitu kimoja. Kuwa na kitu ambacho kitaweza kuchukua nafasi (back up). Usitegemee namba moja kwa sababu mambo yanabadilika sana. Kwa mfano, kwenye maisha usitegemee chanzo kimoja cha mapato. Kwenye biashara usitegemee mteja mmoja, …

Kwa Nini Watu Wanapaswa Kuwa Na Fedha Taslimu

Kama fedha ingekuwa dini, basi fedha ndiyo dini inayowaunganisha watu wote duniani na kuwa kitu kimoja bila kujali rangi au tofauti zetu za kidini. Fedha ni mfalme, ndiyo ni mfalme kwa sababu ukiwa na fedha ina maliza changamoto zote zinazokukabili. Watu wengi hatuna changamoto, ila changamoto yetu kubwa ni kwamba hatuna fedha ya kutatua changamoto …

Kila Gumu Unalopitia Kwenye Maisha Kuna Fursa Nzuri Ndani Yake

Huwa tunaona magumu kama balaa kwenye maisha yetu lakini siyo kweli Seneca Mwanafalsafa wa kistoa anasema, kila gumu unalopitia kwenye maisha kuna fursa ndani yake. Hakuna jambo ambalo linatokea bila kuwa na faida kabisa. Kumbe basi, wajibu wetu ni kujiuliza kwenye kila ugumu ni faida gani ipo ndani yake?Ni fursa zipi nzuri tunazoweza kuzitumia kwa …

Usifanye Jambo Ukiwa Na Kitu Hiki

Kila mmoja wetu anajua ni namna gani hasira zinavyoleta athari katika mahusiano yetu na wengine. Ili kuweza kuzuia hasira kwa namna fulani, basi usifanye jambo ukiwa na uchovu uliopitiliza wa mwili na akili. Kwa sababu, uchovu wa mwili na akili vinakufanya uwe rahisi kukasirika. Rafiki yangu nikupendaye, ni rahisi sana kukasirishwa na kitu pale unapokuwa …

Sababu iliyonifanya Niache Kuwasikiliza Watu

Sisi binadamu ni wazuri sana kwenye kuongea, na kama ingekuwa maneno ndiyo yanaleta mafanikio basi kila mtu angekuwa ameshafanikiwa kwenye kile anachopenda kwenye maisha yake.Kwa miaka mingi watu wamekuwa na ndoto mpaka wanaishia kuzeeka na kufa lakini hawajawahi kuzifanyia kazi. Watu wanaambiwa unatakiwa kuwekeza na anajua umuhimu lakini hafanyi ila kwenye kuongea ni mabigwa wazuri. …

Unachagua Kupoteza Kipi Kati Ya Hivi?

Matatizo mengi ya kifedha ambayo watu wengi wanayo yanasababishwa na tabia.Watu wanakopa kwa sababu ni tabia yao kukopa. Inapokuja kwenye swala la kukopesha, kuna vitu viwili unaweza kuvipoteza. Moja, unaweza kupoteza urafiki. Unapomkopesha mtu unaweza ukapoteza urafiki kwa sababu ya kukopesha. Kwa hiyo, kama unataka kupoteza urafiki kwa sababu ya Kiko fanya hivyo na kama …

Design a site like this with WordPress.com
Get started