Changamoto moja ambayo tunayo sisi binadamu pale tunapopata fedha ni matumizi makubwa ya fedha kuongeza bila hata ya kutegemea. Kuna kawaida ya matumizi kuongezeka pale kipato kinapoongezeka. Sasa hapa usipokuwa makini na fedha zako utajikuta huna hatua unayopiga, ulikuwa unaishi katika kipato fulani lakini kipato kikiongezeka tu mtu anashindwa tena kuishi kadiri ya kipato alichokuwa …
Category Archives: Uncategorized
Kama Unataka Kuandika Historia Ya Maisha Yako
Kila mtu anao uwezo mkubwa wa kuandika historia ya maisha yake, lakini utaandikaje historia ya maisha yako kwa namna unavyoishi maisha ambayo siyo yako? Asilimia kubwa ya maisha wanayoishi watu siyo maisha yao halisi, wengi wanaigiza kuonekana wana maisha fulani lakini usiku wakiwa peke yao nafsi zao huwa zinawasuta, utawadanganya watu wote lakini huwezi kuidanganya …
Continue reading “Kama Unataka Kuandika Historia Ya Maisha Yako”
Kitu Hiki Kikikosekana Katika Maisha Ya Ndoa,Kila Aina Ya Changamoto Zitaibuka
Hakuna kitu kimoja peke yake kinachoweza kuifanya ndoa kuwa bora, ndoa inajengwa na misingi ya vitu mbalimbali. Ni kama vile ambavyo hakuna mtu ambaye anaweza kusimama peke yake kwa kila kitu bila kuwategemea wengine. Viko vitu vingi ambavyo vikikosekana katika ndoa lazima kutaibuka changamoto ya kila aina na mimi leo nakwenda kukuambia kitu ambacho kinasababisha …
Continue reading “Kitu Hiki Kikikosekana Katika Maisha Ya Ndoa,Kila Aina Ya Changamoto Zitaibuka”
Je Umeshampata Mtu Huyu Katika Maisha Yako?
Ninaamini kila binadamu anayo nguvu ya kipekee ndani yake ya kufanya miujiza lakini nguvu hizi ili zifanye kazi zinataka ziamshwe kwanza. Huwa tunapata hamasa kweli siku ya kwanza lakini hamasa hiyo haidumu hii ni kwa sababu tunakosa mtu wa kutusukuma kwenye kile tulichochagua kufanya. Unakata tamaa, unapoteza hamasa , nguvu, matumaini , imani hii yote …
Continue reading “Je Umeshampata Mtu Huyu Katika Maisha Yako?”
Jinsi Ya Kuiba Maarifa Ya Wengine
Hakuna mtu anayeweza kukupeleka mahakamani kwa sababu umetumia maarifa yake aliyoyaandika katika kitabu na ukafanikiwa. Kwa mfano wewe rafiki yangu, unasoma mtandao huu kila siku sasa haya maarifa unayopata yakakusaidia kufanikiwa kwenye eneo fulani la maisha yako unafikiri Mimi nitakuja kukushitaki? Lengo kubwa la Mimi kuandika ni kutaka wewe ufanikiwe kwa kile ninachokijua ninakushirikisha na …
Jinsi Ya Kuwa Na Hamasa Ya Kudumu
Siku zote hamasa za watu kwenye kile wanachofanya huwa hazidumu, siku ya kwanza kuanza kufanya kile unachofanya ulikuwa na hamasa ya ajabu yaani kama ni mzuka ulikuwa nao sana. Sasa unaweza kujiuliza iweje leo Mwl. Deogratius Kessy anataka kuniambia kuna hamasa ya kudumu?Hamasa hazidumu ila ukitaka iweze kudumu iko njia moja ambayo unapaswa kuifanyia kazi. …
Hivi Ndivyo Unavyopaswa Kuwa Mwezi Huu Wa Juni
Vipi kama mwezi huu ukiamua kuishi kinyume na miezi mingine? Miezi yote iliyopita umeishi kimazoea halafu ukiangalia tokea Januari mpaka sasa Juni hakuna kikubwa ulichofanya na kujivunia haya ndiyo matunda yangu ya mwezi Januari mpaka Juni. Kila siku uko bize, unafanya kila kitu, unawahi kuamka na kuchelewa kulala. Badilisha mtazamo wa maisha yako badala ya …
Continue reading “Hivi Ndivyo Unavyopaswa Kuwa Mwezi Huu Wa Juni”
Jinsi Ya Kujifunza Unyenyekevu
Asili huwa ina kawaida ya kuwanyang’anya wale wote ambao wana majivuno kwenye kile wanachofanya. Majivuno yanatuharibia vitu vingi sana kwenye maisha yetu ya kila siku.Tunapoteza vile tulivyokuwa navyo kwa sababu ya kukosa unyenyekevu. Tunajiona kuwa sisi ndiyo kila kitu kwa kila kitu na wengine hawana maana kwetu. Ili tuweze kuwa na maisha ya unyenyekevu ambayo …
Usitumie Tu Fedha Kwa Sababu Una Fedha
Wengi wanajikuta wanatumia fedha kwa sababu wana fedha. Hawa ni wale ambao hawawezi kujizuia au kusema hapana pale wanapokutana na kitu halafu wana hela ya kununua. Kama hakuna ulazima sana wa kitu unachotaka kufanya siyo lazima kutumia fedha linda fedha yako. Usiwe wakala wa fedha zako mwenyewe yaani wewe unakua ni mpokeaji tu baada ya …
Fanya Kinachowezekana Halafu Kisichowezekana Mwachie Huyu
Fanya mambo ya kawaida yaani yale ambayo yako ndani ya uwezo wako halafu mambo makubwa ambayo yako nje ya uwezo wako mwachie Mungu atafanya. Huwa tunajisumbua kupambana na kila kitu, ndiyo maana tunajikuta tuna kazi sana. Kwa mfano, tukimchukulia Musa kwenye kitabu cha Biblia yeye alikuwa na fimbo tu ya kawaida iliyokuwa mkononi mwake alifanya …
Continue reading “Fanya Kinachowezekana Halafu Kisichowezekana Mwachie Huyu”