Kwenye maisha yako, fanya kile unachopaswa kufanya. Na unafanya kwa sababu ni sahihi kwako kufanya hivyo. Kwa mfano, unajua kabisa ukiwa barabarani wewe kama ni dereva ni muhimu kuvaa mkanda wakati unaendesha gari lako. Na unavaa mkanda kwa sababu ni salama kwako kufanya hivyo na siyo unafanya kwa sababu ya askari wa barabarani asikukamate. Kufanya …
Usizoee Kitu Chochote Kile
Kila wakati unapaswa kujiona mtu mpya kwenye kile unachofanya. Kamwe usizoee kile unachofanya hata siku moja.Kwa sababu mazoea huwa yanaua kile unachojua. Mazoea yanaharibu kila kitu kwenye maisha yako. Usiwe na mazoea kwenye biashara yako. Usiwe na mazoea kwenye kazi yako. Usiwe na mazoea kwenye Mahusiano yako. Usiwe na mazoea kwenye kile ulichochagua kufanya. Kila …
Ukikosa Sababu Hii Ni Rahisi Kuishia Njiani
Kila kitu kwenye maisha kina hitaji sababu. Watu wanafanya kitu kwa kusukumwa na kitu. Kwa mfano, huwezi kuamka mapema kila siku asubuhi kama huna sababu ya kuamka mapema asubuhi. Mtu anakuambia kisa cha kujitesa roho nini? Tunafanya kwa sababu tunasukumwa na kitu ndani yetu. Kama huna malengo makubwa na ndoto kubwa ni rahisi sana kuishi …
Continue reading "Ukikosa Sababu Hii Ni Rahisi Kuishia Njiani"
Hawa Ndiyo Wabinafsi Wa Mafanikio
Wote tunajua nafasi ya Mungu kwenye maisha yetu haiwezi kufananishwa na kitu chochote kile. Hata kama mtu hana dini lakini ana amini kuna Mungu. Mwingine ana sali sana lakini hafanikiwi na mwingine hasali na mambo yake yanaenda tu vizuri. Kweli, njia za Mungu hazichunguziki. Tuachane na hayo. Kuna watu kwenye zama hizi wamekuwa wabinafsi sana. …
Nani Anamlipa Nani
Ustaarabu kwenye kazi lazima uwepo. Yule ambaye umempa kazi anapaswa kufuata utaratibu wa kazi kama ulivyo na siyo kuja na utaratibu wake binafsi. Kwenye biashara hakuna mtu ambaye yuko juu ya biashara. Kila mtu anapaswa kufuata utaratibu wa kazi. Kila mtu ambaye anafanya kazi lazima apambanie kombe. Hakuna mtu ambaye atapata matokeo kirahisi. Kila mtu …
Dalili Za Kushindwa Vibaya Kwenye Biashara
Kama umeamua kufanya kazi au biashara fanya biashara kweli. Toa thamani kubwa na mtu anufaike na huduma yako. Chochote kile ulichoamua kukifanya hujaamua kufanya kwa sababu yako binafsi. Unafanya kwa ajili ya wengine. Hakuna kitu ambacho kinawachosha wateja kama huduma mbovu. Dalili ya kwanza biashara kufa ni pale mtu anapotoa huduma mbovu. Kutoa huduma mbovu …
Continue reading "Dalili Za Kushindwa Vibaya Kwenye Biashara"
Kinachokufunga Ndiyo Hiki Hapa
Unaweza kumtafuta mchawi kwenye maisha yako pale unapoona mambo yako hayaendi vile unavyotaka. Kila ukigusa unaona matokeo ya tofauti. Lakini kinachokufunga usiweze kupiga hatua kubwa kwenye maisha yako ni imani. Watu wana imani za ajabu zinazowafunga wasione mbele wala nyuma. Imani ina nguvu kubwa sana kwenye maisha yetu. Tusipobadilisha imani zetu hatuwezi kubadilisha maisha yetu.Imani …
Jinsi Ya Kupata Wasaidizi Wazuri Kwenye Biashara Yako
Rafiki yangu nikupendaye, Maisha ni kujifunza. Na kadiri unavyojifunza kila siku ndivyo unavyopata maarifa ya kufanya maisha yako kuwa bora kabisa. Watu wengi wanapata changamoto ya kupata wasaidizi wa kufanya nao kazi. Yule ambaye hajawahi kuajiri anaweza kusema hakuna kazi. Lakini, habari njema ni kwamba, kazi ziko nyingi changamoto ni watu sahihi na bora wa …
Continue reading "Jinsi Ya Kupata Wasaidizi Wazuri Kwenye Biashara Yako"
Kila Siku Weka Elfu Tatu
Kinachopelekea watu wengi kukopa hela ndogo ndogo ni kwa sababu ya kukosa akiba. Matatizo ya watu kukopa hela ndogo ndogo huwa yanakuwa ni chini ya milioni moja. Kama mtu ukiamua kuwa na akiba ya milioni moja ya dharura huwezi kukimbilia kukopa hovyo. Na wengine hawawezi kuishi bila kukopa. Wasipokopa wanakuwa kama vile wana "arosto"ndani yao. …
Ukikosa Ulichokipenda, Penda Hiki Hapa
Jana niliona gari moja aina ya Costa ikiwa imebeba abiria ndani wakielekea sehemu fulani.Nyuma waliandika ujumbe mmoja, ujumbe huo ulinitafakarisha sana nikasema leo nitakushirikisha rafiki yangu. Ujumbe huo ulikuwa unasema,Ukikosa ulichokipenda, penda ulichonacho. Mara nyingi watu huwa wanateseka kwa vitu ambavyo hawana. Ukiona watu wengi wanateseka, siyo kwa ajili ya vile ambavyo wanavyo, bali vile …