Ungekuwa Mbali Sana Kifedha Kama Ungekuwa Unafanya Hivi  Kwenye Fedha Zako

Mpendwa rafiki yangu, Fedha ni jawabu la mambo yote. Fedha ni ulinzi wa karne ya ishirini na moja kwa sababu kila kitu tunachohitaji tunakipata kwa njia ya fedha. Maisha yetu ya kila siku yanaendeshwa na fedha. Katika mchezo wa fedha ziko kanuni ambazo ukizifuata lazima utafanikiwa kwenye eneo hili. Kila mchezo una kanuni zake, hivyo …

Kitu Ambacho Mtu Anahitaji Ili Abadilike

Hakuna kitu kigumu katika maisha yetu kama mabadiliko. Kutoka katika maisha ya mazoea na kwenda kuanza tabia mpya huwa kinawatesa sana watu. Na uzuri wa mabadiliko hauwezi kukuacha salama na ukabaki kama ulivyo. Uwe unataka au hutaki mabadiliko yakitokea utabadilika tu mwenyewe. Katika mahusianio yetu ya kazi, biashara,ndoa nk watu wamekuwa wagumu kubadilika. Muda mwingine …

Hilo Siyo Wazo Lako,Soma Hapa Kujua Wazo Lako Sahihi

Mpendwa rafiki yangu, Huwa tunajidanganya sana tuna mawazo mazuri, na muda mwingine tunajiaminisha kuwa kile ambacho tunakijua wengine hawakijui. Wazo ambalo unalo kichwani hilo siyo lako kwani yoyote anaweza kulifanyia kazi na ukashangaa mwenyewe, je hujawahi kuona sehemu ambayo wewe ulikuwa unafikiria utafanya kitu fulani ukachelewa kuchukua hatua ukaona mwenzako tayari na yeye amefanya kama …

Neno Pekee Litakalokusaidia Kujenga Nidhamu Binafsi Kwenye Maisha Yako

Katika zama hizi ukiwa ni mtu wa kusema ndiyo kwenye kila kitu mwisho wa siku utajikuta huna ulichofanya. Ukiwa ni mtu wa ndiyo kwenye kila jambo lazima mambo yako mengi yatasimama, utakua unafanyia kazi mambo ya watu wengine huku ya kwako yakiwa yamelala. Mtu anakuja kwako, ulikuwa na mambo muhimu ya kufanya anaomba umsindikize sehemu …

Sababu Kuu Moja Kwanini Unaweza Kuwa Vile Unavyotaka Kuwa

Rafiki, Kuzaliwa kwako duniani ni ushindi mkubwa sana kibailojia, ulikuwa na mwenzako wengi sana lakini wewe ndiyo ukaibuka kuwa mshindi. Kitendo tu cha wewe kuzaliwa ni ushindi, ndiyo maana napenda kukuambia kuwa wewe ni mshindi na umezaliwa kushinda. Hata klabu yetu ambayo ninaiendesha kupitia mtandao wa wasapu inaitwa MIMI NI MSHINDI NA NIMEZALIWA KUSHINDA, kama …

Njia Rahisi Wanayotumia Watu Kutoroka Matatizo Yao Kwenye Karne Ya Ishirini Na Moja (21)

Mpendwa rafiki yangu, Nilishawahi kuandika kuwa sehemu pekee ambayo watu wanaweza kusahau matatizo yao kwa muda ni kwenye nyumba za ibada. Ukienda nyumba za ibada au ukizama kwenye sala na akili yako yote ikawa pale huna kingine unachowaza zaidi ya ile sala inakusaidia kukuondoa kwenye ulimwengu huu na kukupelekea ulimwengu mwingine kabisa. Ukiingia kwenye nyumba …

Hiki Ndiyo Kiwango Sahihi Cha Fedha Unachopaswa Kuingiza Kila Mwezi

Mpendwa rafiki yangu, Fedha ni muhimu sana katika maisha yetu, tukiachana na hewa tunayovuta basi kinachofuata kwa umuhimu ni fedha. Karibu kila eneo la maisha yetu ili tuwe vizuri tunahitaji fedha bila fedha tunadumaa kwenye maeneo yetu mbalimbali. Wako ambao watakuambia fedha siyo muhimu na wanawasema vibaya wenye hela lakini ukichunguza watu hao hao ndiyo …

Hawa Ndiyo Watu Ambao Hupaswi Kuwakasirikia

Rafiki, Kukasirika ni asili ya binadamu, hatuwezi kuzuia kutokuwa na hisia za hasira bali tunaweza kuzikabilia au kuzitawala hisia zetu ili tusiweze kufanya mambo ya ajabu. Wote tunajua kuwa tunapokuwa na hisia za hasira huwa fikra zinakuwa chini yaani uwezo wa kufikiri unakuwa mdogo sana hisia zinakuwa juu. Ikitokea mtu mzima amekuja na kukufanyia kitu …

Kabla Ya Kulalamika Kwenye Jambo Lolote,Kaa Chini Na Jiulize Swali Hili

Katika jamii yetu ni kawaida sana watu kulalamika. Na siyo tu kulalamika lakini pia wengi wanaona kama vile wameonewa kwenye kile wanachofanya kama wamepata matokeo ndivyo sivyo. Utamaduni wa kulalamika hovyo umeanzia nyumbani mpaka maeneo ya kazi, huwa tunalalamikiana hata muda mwingine tunachokana kwa sababu ya lawama za kijinga. Ila hatuwezi kufika muafaka kwa njia …

Kijue Kitabu Cha Ijue Njaa Ya Wanandoa

Mpendwa rafiki yangu, Hongera sana kwa kazi na juhudi unazoendelea kuweka kuhakikisha unakuwa na maisha bora pamoja na kugusa maisha ya wengine. Rafiki nina zaidi ya miaka mitatu sasa tokea nianze kuandika, kupitia mafundisho haya ninayoendelea kuyatoa yameweza kuwasaidia wengi na kugusa maisha yao kwa namna moja au nyingine. Nimekuwa naandika eneo la mahusiano hivyo …

Design a site like this with WordPress.com
Get started