Mpendwa rafiki yangu, Hakuna falsafa kubwa duniani kama upendo, ukiweza kuishi kwa upendo utaweza kushika amri zote. Karibu dini zote duniani zinashikilia falsafa ya upendo. Katika upendo tunapata kila kitu, upendo ndiyo asili ya dunia na tunapokwenda kinyume na upendo huwa tunapata shida. Kila mtu anajua ni kwa jinsi gani upendo ulivyokuwa na nguvu, kama …
Continue reading "Hii Ndiyo Sehemu Pekee Ambayo Upendo Huwa Unapenda Kukaa"