Huwa tunalalamika kuwa kuna watu huwa wanatupotezea muda lakini siyo kweli hakuna anayekupotezea muda isipokuwa wewe mwenyewe. Unajipotezea muda wewe mwenyewe, mpaka mtu akupotezee muda basi tayari wewe umekubali akupotezee muda. Ili kuepukana na kulalamika juu ya hili, unatakiwa kuwa na njia mbadala ya kutumia muda wako vizuri. Kwa mfano, umewekeana miadi na mtu kuwa …
Huyu Ndiye Jiniazi Wa Kutawala Akili Za Watu
Rafiki, Mchezo mzima wa binadamu uko kwenye akili ndiyo maana huyu jiniazi ambaye tunakwenda kumjua leo ameweza kufanikiwa hilo kwa asilimia mia moja. Biashara zote hasi ambazo wewe unazijua zinawatawaliwa na bingwa wa kutawala akili za watu kwenye karne ya 21. Jiniazi ambaye anatawala akili za watu siyo mwingine bali ni shetani. Kazi kubwa ya …
Continue reading "Huyu Ndiye Jiniazi Wa Kutawala Akili Za Watu"
Tafuta Mtu Anayeendana Na Kasi Yako
Katika maisha kila mmoja huwa anaishi falsafa yake na kufanya kile anachokiamini na kuona kwake ni sahihi. Ni kweli hatuwezi kuwa sawa kimtazamo lakini tunaweza kutafuta watu ambao wanaendana na kasi yetu ya maisha. Ukifanya kazi na mtu ambaye hawezi kwenda na kasi yako basi utakua unapoteza muda. Tunatakiwa kuambatana na watu ambao wana kasi …
Jinsi Ya Kumaliza Siku Yako Kwa Ushindi Mkubwa
Ni kawaida kwa kila mwanamafanikio kuanza siku yake kwa ushindi na kuimaliza kwa ushindi. Ila wako watu ambao hawajui jinsi ya kumaliza siku zao kwa ushindi. Leo ninakwenda kukufundisha namna ya kumaliza siku yako kwa ushindi. Aliyekuwa mwandishi, mwanasiasa na mwanajeshi katika nchi ya uingereza aliwahi kusema namna ya kumaliza siku yako kwa ushindi na …
Continue reading "Jinsi Ya Kumaliza Siku Yako Kwa Ushindi Mkubwa"
Sifa Moja Muhimu Ambayo Kila Mwajiriwa Na Mfanyabiashara Anapaswa Kuwa Nayo
Kiasili kila mtu ni mfanyabiashara hata kama umeajiriwa basi jua hata kuajiriwa ni mfumo wa biashara ambao wewe unakua unauza ujuzi na muda wako. Kila mfanyabiashara na aliyeajiriwa unapaswa kuwa na sifa moja muhimu ambayo ni kuwahi eneo la kazi.Iwe umejiajiri au umeajiriwa unatakiwa kuwahi eneo la kazi mapema. Kuna faida moja kubwa sana ya …
Continue reading "Sifa Moja Muhimu Ambayo Kila Mwajiriwa Na Mfanyabiashara Anapaswa Kuwa Nayo"
Falsafa Ya Kazi Na Sala
Natumaini maneno haya kazi na sala siyo mara yako ya kwanza kuyasikia, umeshayasikia sana watu mbalimbali wakisema na kuwekea msisitizo. Maana rahisi ya kazi na sala ni kama vile kusema imani na matendo. Imani bila matendo imekufa, kama una imani ya kuwa na kitu fulani basi vizuri sana. Lakini imani uliyonayo unatakiwa kuiweka katika kazi.Usikeshe …
Je Umejitoa Kafara Katika Kile Ulichochagua kufanya?
Elon musk anasema kuwa kama wewe unafanya kazi sana basi kuna mtu anayefanya kazi zaidi yako. Ukijiona wewe ni bora jua kuna bora zaidi yako. Hapa unatakiwa kujituma sana katika kile unachofanya kwa sababu usipojituma kuna mtu anajituma zaidi yako. Kwa chochote kile unachofanya jua kuna mtu anakwenda hatua ya ziada zaidi yako. Watu hawajajitoa …
Continue reading "Je Umejitoa Kafara Katika Kile Ulichochagua kufanya?"
Wape Watoto Vitu Vyote Lakini Usisahau Kuwapa Kitu Hiki Muhimu Kwao
Rafiki yangu, Kila mmoja alikuwa mtoto na huenda hukufundishwa vitu vingi na wazazi wako katika maisha yako lakini vitu vingi dunia imekufundisha. Usipofundishwa na wazazi dunia inakufundisha. Wazazi wetu ni watu muhimu sana duniani tunapaswa kuwashukuru kwa zawadi yao ya kutulea mpaka kufikia mahali ambapo sisi tunajitegemea. Watoto huwa wanahitaji vitu vingi kutoka kwa mzazi …
Continue reading "Wape Watoto Vitu Vyote Lakini Usisahau Kuwapa Kitu Hiki Muhimu Kwao"
Haya Ndiyo Masoko Yanayofanya Vizuri Kuliko Masoko Yote
Kila mmoja wetu ni muuzaji na mnunuaji. Katika masoko watu wanapenda sana kusikia uhakika kutokana na kile unachouza. Watu wanapenda sana kusikia ushuhuda wa kile unachouza. Na masoko yanayofanya vizuri kupita masoko yote ni masoko ya neno la mdomo yaani word of mouth. Ni rahisi kusikiliza tangazo la bidhaa kwenye radio, ni rahisi kuona tangazo …
Continue reading "Haya Ndiyo Masoko Yanayofanya Vizuri Kuliko Masoko Yote"
Kitu Ambacho Hakijawahi Kumsaidia Mtu
Watu huwa wanajidanganya na kusema kuwa ukweli huwa unaumiza lakini ni kitu ambacho siyo sahihi. Kifalsafa ukweli huwa haumuumizi mtu bali ukweli huwa una msaidia mtu. Ni mara ngapi ukweli huwa unakusaidia? Ni mara nyingi tu, hivi mtu akikuambia ukweli kwa mfano, ukitaka kufanikiwa kwenye maisha yako acha kuwa mvivu amekusaidia au hajakusaidia? Atakuwa amekusaidia …