Kila mmoja wetu anajua umuhimu wa kazi katika maisha yake. Licha ya watu wengi kufanya kazi wasizozipenda wanafanya tu ili mradi wapate fedha za kuendesha maisha yao. Siyo watu wote ambao wako duniani wanajua wamekuja kufanya nini, wengi hawajui kusudi la maisha yao hapa duniani. Laiti kama kila mmoja wetu akijua haswa amekuja kufanya nini …
Hiki Ndicho Kinachowapoteza Watu Wengi Kwenye Zama Hizi
Tuko kwenye zama za maarifa na taarifa, ili ufanikiwe unahitaji uwe na maarifa sahihi na taarifa sahihi. Kwenye zama hizi, maarifa na taarifa zimekuwa nyingi sana kiasi kwamba zinawavuruga hata watumiaji, hizi ni zama za mafuriko na taarifa, unahitaji uwe na vigezo vya kuchuja kila aina ya maarifa na taarifa unazopata ili uweze kuzitumia vizuri. …
Continue reading "Hiki Ndicho Kinachowapoteza Watu Wengi Kwenye Zama Hizi"
Usifikie Mahali Ukajiuliza Swali Hili Kwenye Maisha Yako
Ukitafuta sababu kwanini maisha yako yamekuwa jinsi yalivyo leo huwezi kukosa sababu wala watu wa kuwalaumu ambao wamesababisha wewe kuwa hivyo ulivyo, hata kama utawapata kweli na kuwatupia kila aina ya lawama haiwezi kusaidia kitu kwani matokeo ya maisha yako ya leo, mchangiaji mkubwa ni wewe mwenyewe wala siyo mtu mwingine. Tuwe watu wa kujikamata …
Continue reading "Usifikie Mahali Ukajiuliza Swali Hili Kwenye Maisha Yako"
Hii Ndiyo Sababu Inayokufanya Uyumbishwe Kwenye Maisha Yako
Kama umeamka asubuhi na hujui nini unakwenda kufanya utajikuta siku inakuyumbisha na huku ukiendelea kuendeshwa na matukio na siyo kadiri ya ratiba ya siku yako. Hapa ndiyo inakuja ile dhana kwamba usipoipangilia siku yako na kusema unataka nini na hutaki nini utajikuta unapata kile ambacho hata hukutegemea kukitaka kwenye maisha yako. Kama unaishi maisha ambayo …
Continue reading "Hii Ndiyo Sababu Inayokufanya Uyumbishwe Kwenye Maisha Yako"
Jifunze Kuishi Namna Hii
Changamoto moja ambayo tunayo sisi binadamu pale tunapopata fedha ni matumizi makubwa ya fedha kuongeza bila hata ya kutegemea. Kuna kawaida ya matumizi kuongezeka pale kipato kinapoongezeka. Sasa hapa usipokuwa makini na fedha zako utajikuta huna hatua unayopiga, ulikuwa unaishi katika kipato fulani lakini kipato kikiongezeka tu mtu anashindwa tena kuishi kadiri ya kipato alichokuwa …
Kama Unataka Kuandika Historia Ya Maisha Yako
Kila mtu anao uwezo mkubwa wa kuandika historia ya maisha yake, lakini utaandikaje historia ya maisha yako kwa namna unavyoishi maisha ambayo siyo yako? Asilimia kubwa ya maisha wanayoishi watu siyo maisha yao halisi, wengi wanaigiza kuonekana wana maisha fulani lakini usiku wakiwa peke yao nafsi zao huwa zinawasuta, utawadanganya watu wote lakini huwezi kuidanganya …
Continue reading "Kama Unataka Kuandika Historia Ya Maisha Yako"
Kitu Hiki Kikikosekana Katika Maisha Ya Ndoa,Kila Aina Ya Changamoto Zitaibuka
Hakuna kitu kimoja peke yake kinachoweza kuifanya ndoa kuwa bora, ndoa inajengwa na misingi ya vitu mbalimbali. Ni kama vile ambavyo hakuna mtu ambaye anaweza kusimama peke yake kwa kila kitu bila kuwategemea wengine. Viko vitu vingi ambavyo vikikosekana katika ndoa lazima kutaibuka changamoto ya kila aina na mimi leo nakwenda kukuambia kitu ambacho kinasababisha …
Continue reading "Kitu Hiki Kikikosekana Katika Maisha Ya Ndoa,Kila Aina Ya Changamoto Zitaibuka"
Je Umeshampata Mtu Huyu Katika Maisha Yako?
Ninaamini kila binadamu anayo nguvu ya kipekee ndani yake ya kufanya miujiza lakini nguvu hizi ili zifanye kazi zinataka ziamshwe kwanza. Huwa tunapata hamasa kweli siku ya kwanza lakini hamasa hiyo haidumu hii ni kwa sababu tunakosa mtu wa kutusukuma kwenye kile tulichochagua kufanya. Unakata tamaa, unapoteza hamasa , nguvu, matumaini , imani hii yote …
Continue reading "Je Umeshampata Mtu Huyu Katika Maisha Yako?"
Jinsi Ya Kuwa Na Maisha Tulivu
Katika jamii yetu ya sasa iko njia nzuri sana ya wewe kuwa na maisha ya utulivu, huna haja ya kujisumbua na watu wakati kiasili tayari maisha yanakusumbua halafu tena mtu aje akusumbue, utahangaika na vingapi? Watu wamekuwa ni watu wa kukimbizana na mambo ambacho yako nje ya uwezo wao wakifikiri watayaweza. Wako ambao wanakazana kutaka …
Jinsi Ya Kuiba Maarifa Ya Wengine
Hakuna mtu anayeweza kukupeleka mahakamani kwa sababu umetumia maarifa yake aliyoyaandika katika kitabu na ukafanikiwa. Kwa mfano wewe rafiki yangu, unasoma mtandao huu kila siku sasa haya maarifa unayopata yakakusaidia kufanikiwa kwenye eneo fulani la maisha yako unafikiri Mimi nitakuja kukushitaki? Lengo kubwa la Mimi kuandika ni kutaka wewe ufanikiwe kwa kile ninachokijua ninakushirikisha na …