Kwa sababu mambo mengi yanayotokea yako nje ya uwezo wako. Huwezi kuzuia baridi au jua lisitoke. Huwezi kuzuia mtu asife kwani vitu vingine viko nje ya uwezo wako huwezi kuvidhibiti kamwe. Watu wengine wanajikuta wao ndiyo viranja wa dunia. Wanataka mambo yaende kama vile wanavyotaka wao. Huwezi kudhibiti tukio fulani lisitokee. Kama limepangwa kutokea litatokea …
Huyu Ndiyo Kiongozi Bora Anayethamini Maisha Yako
Kama ulikuwa una mtazamo wa kiongozi fulani kuja kuyabadilisha maisha yako jua kuwa hakuna. Maisha yako yatabadilishwa na wewe mwenyewe. Aliyekuwa raisi wa awamu ya 40 wa Marekani Ronald Reagan aliwahi kunukuliwa akisema, serikali siyo suluhisho la matatizo yetu. Serikali ni matatizo. Aliyekuwa Raisi wa Marekani Ronald ameshakuambia ukweli ambao viongozi hawausemi kwamba serikali siyo …
Continue reading "Huyu Ndiyo Kiongozi Bora Anayethamini Maisha Yako"
Njia Nzuri Ya Kujua Vitu Vingi
Ni kujifunza na kuchukua. Jifunze na jaribu kufanya kwa vitendo vile unavyojifunza ndiyo utaona matokeo mazuri. Soma sana. Jifunze kwa watu waliofanikiwa. Tembea nenda kaone wengine wanafanyaje. Watu wengi wanajifunza sana lakini mbona hawabadiliki? Je, tatizo ni nini? Ni kwa sababu watu hawachukui hatua ya kujaribu. Utajifunza sana lakini kama huchukui hatua utakua huna tofauti …
Hii Ndiyo Dawa Ya Kutovumilia Tena Maisha Ya Ndoa, Soma Uijue
Sisi binadamu ni viumbe vya hisia. Ni viumbe ambavyo vinahusiana kadiri ya vina saba yaani DNA. Ni nani kati yetu anaweza akasema yeye hajatokea kwenye mahusiano? Kila mmoja wetu ametokea katika mahusiano. Na mahusiano yetu yana njaa. Njaa ya mahusiano huwa inaanzia kwenye ndoa na kusambaa kwenye mahusiano mengine. Tukiwa na ndoa bora tutakua na …
Continue reading "Hii Ndiyo Dawa Ya Kutovumilia Tena Maisha Ya Ndoa, Soma Uijue"
Ondoka Nenda Sehemu Hii
Ondoka nenda kajifunze kupitia wengine wanafanyaje. Ondoka nenda ukafanye kazi unayopaswa kufanya. Ondoka nenda kasali na wenzako. Ondoka nenda kajumuike na wenzako. Ishi maisha ya kushirikiana na wenzako. Hakuna tatizo jipya yapa duniani. Ukiongea na wenzako watakusaidia kwani tatizo unalopitia wewe wako watu tayari walishalipitia. Usiishi maisha ya umimi yaani ubinafsi. Jitoe kwa ajili ya …
Hakuna Aliyewahi Kushinda Kwenye Huu Mchezo Duniani
Mchezo mwenyewe ni mchezo wa kufurahisha watu wengine. Hakuna aliyeshinda mchezo wa kuwafurahisha watu kwa sababu ni kazi ngumu duniani ambayo hakuna aliyowahi kufanya akafanikiwa. Kwa jambo lolote utakalofanya ili uwafurahishe watu basi umejiandaa kushindwa kabla hata ya kuanza mashindano yenyewe. Mtu pekee ambaye unaweza kumfurahisha kwenye haya maisha ni wewe mwenyewe.Huwezi kuwa sawa na …
Continue reading "Hakuna Aliyewahi Kushinda Kwenye Huu Mchezo Duniani"
Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Huwa Hakikosekani Penye Maneno Mengi
"Penye maneno mengi hapakosekani makosa, lakini anayeuzuia ulimi wake ana busara" kadiri ya kitabu cha Methali. Epuka maneno mengi. Utajiepusha na mambo mengi. Pendelea kuweka kazi kuliko maneno. Jaribu kuwa kama bubu, utajikuta unafanya kazi nyingi bila kugombana na watu. Kwa mfano, nina mfahamu bubu mmoja ambaye yuko maeneo ambayo ninaishi. Kiufupi huyu bubu huwa …
Continue reading "Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Huwa Hakikosekani Penye Maneno Mengi"
Mjue Anataka Nini Kisha MpeHiki
Kile anachotaka. Jua mteja wako anataka nini kwenye kile unachofanya kisha mpe kile anachotaka. Jua mwenza wako anataka nini kisha mpe kile anachotaka. Ili mradi tu usivunje sheria za asili.Kinachowafanya watu kutotilia katika ndoa zao ni njaa. Yaani hawajapata kile wanachotaka. Ukishajua njaa ya mwenzako ni nini kazi yako inakuwa ni kumshibisha tu. Utamshibishaje kama …
Kitabu; Kwa Nini Umezaliwa Kushinda
Hii Ndiyo Sababu Kwa nini Unasali Halafu Hupati Kile Unachoomba?
Kila mmoja wetu huwa anasali kadiri ya imani yake. Watu wengi wanasali lakini hawapati kile wanachoomba je, umeshawahi kujiuliza ni kwa nini? Ni kwa sababu hawasali ipasavyo. Nikirejea katika kitabu cha Yakobo, kinasema haya "mnaomba hampati kwa sababu mnaomba kwa nia mbaya, mnaomba ili mpate kutosheleza tamaa zenu" Nina ungana mkono na Yakobo. Wengine wanaomba …
Continue reading "Hii Ndiyo Sababu Kwa nini Unasali Halafu Hupati Kile Unachoomba?"