Angalia kila hali unayopitia kwenye maisha yako hata kama ni ndogo kiasi gani. Je, unafanya kila unachoweza kufanya? Je, umeweza kutumia kila fursa inayokuzunguka? Je, unayatumia vizuri maarifa unayopata kwa vitendo? Unaweka juhudi za kutosha kwenye kazi yako? Je, umepatana na wale ambao mmepishana yaani mmesameheana? Je, una mjali mke au mume wako? Je, unaijali …
Samaki Huwa Anaanza Kuozea Kichwani
Ukiona familia yako haiendi wewe kama baba au mama jua shida ndiyo iko kwako kwa sababu, samaki huwa anaanza kuozea kichwani. Samaki huwa anaanza kuozea kichwani hii maana yake nini? Tatizo huwa linaanza kwenye wale watu wenye mamlaka makubwa kwenye eneo husika. Biashara inaanza kufa kwa sababu mmliki tayari alishakufa, wewe kama ndiyo kichwa cha …
Ni Afadhali Nikose Fedha Lakini Siyo Hiki Hapa
Jumamosi ya wiki ya jana nilikuwa sokoni na rafiki yangu. Siku hiyo ilikuwa imenyesha mvu kubwa kweli hata wale wafanyabiashara waliokuwa wanatoa huduma mbalimbali walishindwa kupata wateja kwa sababu ya mvua. Kuna hitaji moja ambalo rafiki yangu alikuwa anaenda kulipata hapo sokoni. Kabla hatujafika eneo ambalo anapaswa kupata huduma, tutakutana na muuzaji ambaye angempatia huduma …
Continue reading "Ni Afadhali Nikose Fedha Lakini Siyo Hiki Hapa"
ZAWADI YA KUMNUNULIA YULE UMPENDAYE KWENYE SIKU YA VALENTINE.
Je, unataka kumpatia zawadi mtu wako wa karibu leo kwenye kilele cha siku ya wapendao duniani? Kama jibu lako ni ndiyo, basi zawadi sahihi ya kunogesha mahusiano yako ni kumnunulia yule umpendaye kitabu. Pata zawadi ya kitabu hiki kwa shilingi elfu 15 leo kwa bei ya ofa. Acha wajue kwamba unampenda, waoneshe watu wako wa …
Continue reading "ZAWADI YA KUMNUNULIA YULE UMPENDAYE KWENYE SIKU YA VALENTINE."
Mteke Awe Na Wewe
Mteke mteja, awe na wewe kupitia huduma bora, kupitia thamani unayotoa. Mteke mke au mume wako awe na wewe kwa kumpa upendo au mapenzi ambayo hajawahi kupata sehemu nyingine yoyote ile, ukimteka hana tena pa kwenda atabaki na wewe. Kifupi shibisha njaa ya mwenza wako. Wateke watu kwa kile unachofanya. Je, unawatekaje? Kwa njia ya …
Kwenye Biashara Zingatia Vitu Hivi Viwili, Kama Biashara Haina Vitu Hivi, Ni Bora Uifunge
Mwandishi mmoja wa riwaya Ayn Rand anasema kwamba, siku ukishindwa kumfukuza msaidizi wako wa kazi kwenye biashara yako, hiyo biashara bora ufunge. Kwa kuwa maisha ni biashara, kama maisha unayoishi au kile unachofanya hakikulipi ni bora kuacha hicho unachofanya. Dunia ina utele huwezi kukosa kitu kinachokulipa kama unatoa thamani kubwa. Wako watu wanateseka kwenye mahusiano …
Imebaki Siku Moja Tu Ili Tuhitimishe Kilele Cha Mwezi Wa Mapenzi Mubashara.
Imebaki Siku Moja Tu Ili Tuhitimishe Kilele Cha Mwezi Wa Mapenzi Mubashara. Soma kwanza kisa cha hadithi hapo chini, kisha chukua hatua ya kujali mahusiano yako kwa kusoma kitabu cha Ijue Njaa Ya Wanandoa. "Mwaka wa kwanza wa ndoa mume anaongea mke anasikiliza. Mwaka wa pili mke anaongea mume anasikiliza. Mwaka tatu mume na mke …
Continue reading "Imebaki Siku Moja Tu Ili Tuhitimishe Kilele Cha Mwezi Wa Mapenzi Mubashara."
Kwenye Maisha Kuna Vitu Hivi Vitatu, Lazima Uchague Viwili Ili Maisha Yaende
Kwenye maisha kuna vitu vitatu navyo ni;Moja, kazi.Mbili, familia naTatu, Bata( starehe). Ili maisha yako yaende vizuri lazima ukubali kuchagua vitu viwili tu utakavyoweza kutembea navyo kwenye maisha yako. Usipofanya hivyo ni rahisi kuyumba. Huwezi kufanya yote kwa wakati mmoja lazima uchague viwili ili maisha yako yaweze kwenda. Kwa mfano, ukichagua familia na kazi lazima …
Continue reading "Kwenye Maisha Kuna Vitu Hivi Vitatu, Lazima Uchague Viwili Ili Maisha Yaende"
Usitumie Kabisa Fedha Hizi
Usitumie fedha ambazo huna kununua vitu ambavyo huvihitaji kuwafurahisha watu ambao hawana muda au hawajali kwa kile ulichofanya. Hii ina maana gani? Hapa mtu anakuwa ananunua vitu kwa mkopo ili aonekane na yeye ana vitu hivyo au ana uwezo au hadhi fulani, wakati wale anaowaonesha hata hawajali juu ya vile vitu anavyonunua. Yaani hapa utakua …
Kwenye Kila Bure Jiulize Unalipaje?
Ukichunguza kila bure siyo bure kweli. Bure inakuzuia kupata kile unachotaka. Kwa mfano, unaenda kununua kitu unachokitaka halafu unakutana na kitu kingine cha bure lakini mpaka ununue kitu kingine usichotaka ndiyo utaweza kupata hicho kitu cha bure. Kwa mfano, nunua mbili upate moja bure. Kuepuka kuingia kwenye mtego wa bure na baadaye utahitajika kulipa zaidi. …