Kinachowafanya Watu Wengi Wakose Furaha Kwenye Maisha

Kinachowafanya watu wengi kukosa furaha kwenye maisha yao ni kuishi maisha ambayo yako chini ya uwezo wao. Kwa mfano, mtu anajijua kwamba anaweza kuwa na maisha bora kuliko aliyonayo sasa, anaweza kufanya kazi yake kwa ubora kuliko anavyofanya sasa na pia anaweza kupata kipato kikubwa kuliko anachopata sasa lakini hakuna hatua anazochukua kufikia ule uwezo …

Hiki Ndiyo Kipimo Cha Wito Wako

Kipimo cha wito wowote ule uliochagua kuishi siyo furaha bali ni ule ustahimilivu wako kwenye huo wito. Logan Pearsall Smith aliwahi kunukuliwa akisema, kipimo cha wito ni mapenzi ya mateso ambayo mtu unakutana nayo katika kufanyia kazi wito wako. Hapa unapata picha kwamba kipimo cha wito wako ni mapenzi ya kuvumilia wito wako mpaka mwisho, …

Ukiona Haitatui Jua Kuna Utapeli

Watu wengi watakuja kukushirikisha fursa mbalimbali na wakiuambia kwamba zinalipa. Wengine watakuambia njia rahisi za kupata fedha bila kufanya KAZI. Kama tunavyojua wote kwamba, msingi wa mafanikio yoyote yale ni kazi, na kama hakuna kazi hakuna mafanikio. Mtu yeyote anayekuja kukushirikisha fursa ya kibiashara, kwanza jiulize hivi; Hii biashara inatatua matatizo gani ya watu? Na …

Jinsi Ya Kukabiliana Na Gharama Za Maisha

Gharama za maisha zinapanda kila siku na changamoto ni kwamba, kama gharama za maisha zinapanda na watu huwa hawapandi. Kwa mfano, mtu anaendelea kuwa na kipato chake kile kile bila kuongeza na huku gharama za maisha zinapanda. Ili uweze kukabiliana na kupanda kwa gharama za maisha unapaswa na wewe kupandisha kipato chako. Njia pekee ya …

Bidhaa Ambazo Huwa Zinazotaka Sana Kwenye Biashara

Asili ya binadamu ni uvivu, watu huwa hatupendi kujisumbua hivyo tuna kawaida ya kurahisisha mambo. Kwa mfano, bidhaa inayokuwa usawa wa macho ndiyo bidhaa ambayo huwa inanunuliwa sana. Kama una biashara, na unataka bidhaa zako ziende basi weka usawa wa macho wa watu. Kwa mfano, angalia supa maketi, bidhaa zinazonunuliwa sana ni zile zilizokaa usawa …

Hii Ndiyo Thamani Ya Kitu Kwenye Asili

Rafiki yangu nikupendaye, Je unajua thamani ya kitu kwenye asili ni nini?Thamani ya kitu kwenye asili ni uzalishaji wake.Asili huwa inapuuza vitu vyote ambavyo havina uzalishaji. Thamani ya kitu kwa binadamu ni uzalishaji. Usiache kufanya majukumu yako muhimu kwani kama huzalishi asili itakuondoa mara moja.Ukiwa kwenye kazi kama umeajiriwa huzalishi matokeo mazuri asili itakuondoa kwani …

Mahusiano Ni Kujali

Sisi binadamu ni viumbe vya hisia, huwa tunaongozwa na hisia. Na sisi binadamu tuko hapa duniani kwa sababu tunahusiana na wengine. Tuwapokee wale ambao tumepewa kama walivyo kwani sisi kazi yetu siyo kuwabadilisha watu bali kutumia yale mazuri ambayo yapo ndani ya watu.Jitahidi sana kupata UTULIVU kwenye ENEO la mahusiano, litakuongezea hamasa kwenye uzalishaji. Usitafute …

Dalili Za Mtu Aliyefanikiwa

Utaweza kujua kama mtu ana uelekeo kwenye maisha yake au la kwa kuangalia vitu vifuatavyo. Sina uhakika kama itakufaa lakini mtu aliyefanikiwa dalili yake ya kwanza iko kwenye matumizi ya muda. Kwa mfano, watu wengi ambao bado hawajafanikiwa na wana fikra za kimasikini huwa wanatumia muda kuokoa fedha. Hakuna kitu kibaya katika zama hizi kama …

Njia Pekee Ya Kufaulu Mitihani Ya Maisha

Ukiwa shuleni ili ufaulu lazima usome vitabu hata katika maisha, ili uendelee kufaulu mitihani ya maisha ni kuendelea kujifunza kupitia usomaji wa vitabu. Kwenye kusoma unapaswa kusoma vitabu unavyovipenda na kuvielewa lakini vile vitabu vigumu na usivyovipenda. Unaposoma vitabu vya aina mbalimbali unakua unaitanua akili yako na kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri. Hii itakusaidia …

Design a site like this with WordPress.com
Get started