Mpendwa rafiki, Kila mtu ni bosi wa maisha yake mwenyewe. Kila mtu ni bosi katika kazi yake. Hakuna mtu anayeweza kufanya kazi ya mwenzake. Kazi ya mtu ni kazi ukipewa hutoiweza hata kidogo. Tunatakiwa kuheshimu kazi za mwenzetu kwani kila mmoja ana kazi yake. Unaweza kuiona kazi ya mtu ni rahisi ila ukiingia kuifanya utaona …
Continue reading “Hiki Ndiyo Kiunganishi Cha Ushindi Wowote Ule Unaotaka”