Huwa tunaisubiria mpaka mabadiliko yatokee ndiyo tuanze kuchukua hatua. Huwa tunajua kabisa tuna misimu ya baridi, jua au mvua hivyo tunatakiwa kujiandaa kukabiliana na baridi kabla baridi haijaanza kutokea. Huwa watu wanaingia kwenye gharama kubwa pale wanapofanya uzembe wa kutochukua hatua mapema. Kwa mfano, kipindi cha jua Unaweza kununua vitu vya kujikinga na baridi kwa …
Continue reading “Jiandae Kwanza Kabla Ya Mabadiliko Hayajatokea”