Kwa sababu mambo mengi yanayotokea yako nje ya uwezo wako. Huwezi kuzuia baridi au jua lisitoke. Huwezi kuzuia mtu asife kwani vitu vingine viko nje ya uwezo wako huwezi kuvidhibiti kamwe. Watu wengine wanajikuta wao ndiyo viranja wa dunia. Wanataka mambo yaende kama vile wanavyotaka wao. Huwezi kudhibiti tukio fulani lisitokee. Kama limepangwa kutokea litatokea …
Category Archives: FALSAFA
Jinsi Ya Kuwa Na Hekima Kwa Njia Rahisi
Watu wengi wanaweza kujiuliza je nina wezaje kuwa na hekima? Hili ndiyo swali ambalo linaulizwa na watu wengi. Iko njia rahisi ya kuweza kuwa na hekima katika maisha yetu nayo ni kutumia akili. Kwa kuwa sisi ni binadamu tulioumbwa kwa jinsi ya ajabu tumepewa akili kubwa ya kuweza kujua zuri na baya. Kwa kutumia …
Ifahamu Sheria Kubwa Ya Asili
Mpendwa rafiki yangu, Heri ya mwezi machi,natumaini unaendelea vema kuwa bora kila siku na kuhakikisha unafikia malengo yako. Sisi binadamu wote tuko katika mwendo, kwanza tokea unazaliwa moyo wako haujawahi kusimama kufanya kazi hivyo siku utakaposima na wewe ndiyo utakua mwisho wako hapa duniani. Miili yetu kiasili iko katika mwendo. Kila kitu kipo katika mwendo, …
Ushauri Wa Mwanafalsafa Epictetus Kwa Mtu Yeyote Anayetaka Kufanikiwa
Heri ya mwezi agasti rafiki yangu, Natumaini hujambo na unaendelea vizuri. Niendelee kukutakia kila la heri katika mwezi huu wa nane tunaoanza nao leo. Unaweza kufanya kitu chochote leo na kubadilisha maisha yako. Zaidi ya miaka elfu mbili mafundisho ya wanafalsafa bado yako hai na yanaendelea kutumika katika jamii yetu. Licha ya wanafalsafa hawa kuishi …
Continue reading “Ushauri Wa Mwanafalsafa Epictetus Kwa Mtu Yeyote Anayetaka Kufanikiwa”
Kama Unajali Wengine Wanasema Nini Kwenye Maisha Yako
Rafiki, Kila mtu ni kiongozi wa maisha yake. Hakuna mtu mwingine anayejua zaidi kuhusu wewe kama wewe. Wewe ndiyo bosi wa maisha yako lakini cha kushangaza wako watu hawajali maisha yao bali wanajali kile wanachosema wengine. Utakua ni mtu wa ajabu pale unapoacha kujali yako na kujali mambo ambayo hayakuhusu. Kama wewe ndiyo mkurugenzi wa …
Continue reading “Kama Unajali Wengine Wanasema Nini Kwenye Maisha Yako”
Jinsi Ya Kuepuka Kufanya Maamuzi Ya Kuongozwa Na Hisia
Karibu maamuzi mengi wanayofanya watu duniani yanaongozwa na hisia. Watu wengi hawapendi kufikiri kwani kufikiri ni moja ya kazi ngumu duniani. Kama ingekuwa tunafikiri kabla tusingekuwa tunafanya maamuzi ya hisia. Wengi wetu tunaendeshwa na hisia kuliko kuongozwa na akili. Tunanunua kwa hisia na siyo kwamba kwa uhitaji, bali ule msukumo wa hisia unavyofanya mambo ndani …
Continue reading “Jinsi Ya Kuepuka Kufanya Maamuzi Ya Kuongozwa Na Hisia”
Kwenye Kila Tatizo Unalokutana Nalo Jiulize Swali Hili Hapa
Rafiki, Kila mmoja wetu anafanya makosa katika maisha yake. Hakuna ambaye ni mkamilifu na asili ya kila binadamu ni kukosea, tunapokosea ndiyo huwa tunajifunza. Maisha ni kama shule na changamoto tunazo kutana nazo ndiyo mitihani. Kumbe basi, tunapokimbia changamoto maana yake hutaki kwenda darasa lingine bali unataka kubaki darasa hilo hilo yaani kama uko la …
Continue reading “Kwenye Kila Tatizo Unalokutana Nalo Jiulize Swali Hili Hapa”
Jinsi Ya Kujiondoa Kwenye Maumivu Ya Ndani
Imekuwa ni kawaida kwa watu wengi kuwa na maumivu ya ndani. Na chanzo kikubwa cha maumivu ya ndani ni kuvumilia. Watu wengi wanapenda kuvumilia maumivu ya ndani , unakuta mtu amekwazika badala ya kuchukua hatua anavumilia yale maumivu kwa kukaa kimya au kunung’unika. Tunajisababishia sisi wenyewe maumivu ya ndani kwa kuendelea kuvumilia, kubaki na uchungu …
Continue reading “Jinsi Ya Kujiondoa Kwenye Maumivu Ya Ndani”
Falsafa Ya Kwanza Ya Kuwa Nayo Kabla Hujaanza Safari Ya Mafanikio
Mpendwa rafiki yangu, Kama umeamka na hujui unakwenda kufanya nini ni bora urudi ukalale, kabla ya kulala unatakiwa ujue kabisa kitu chako cha kwanza kufanya ni nini baada tu ya kuamka. Kutokujua nini unakwenda kufanya siku inayofuata ni rahisi sana kupoteza siku yako. Jinsi ilivyo rahisi kupoteza siku yako ndivyo ilivyo hata katika ndoto ya …
Continue reading “Falsafa Ya Kwanza Ya Kuwa Nayo Kabla Hujaanza Safari Ya Mafanikio”
Hili Ndiyo Jawabu La Kwanini Mambo Ni Magumu
Ndoto zetu zinatakiwa zifanyiwe kazi. Kama una ndoto ya kujenga ghorofa angani anza kujenga msingi kuanzia chini. Kuendelea kukaa na ndoto bila kuifanyia kazi huna tofauti na mtu ambaye hana ndoto. Kama tuna ndoto halafu hatuchukui hatua ni sawa sawa na wale ambao hawana ndoto. Kwanini mambo yanakuwa magumu? Mwanafalsafa wa kistoa Seneca aliwahi kusema,si …
Continue reading “Hili Ndiyo Jawabu La Kwanini Mambo Ni Magumu”