Mambo Huwa Hayaendi Vizuri Yenyewe

Watu wengi wanafikiri kuwa mambo mengi yanayoenda vizuri huwa yanajiendea tu. Sina uhakika kama itakufaa lakini waswahili walisema, ukiona vya elea ujue vimeundwa. Kumbe basi, mambo mazuri huwa hayaendi vizuri yenyewe,bali huwa yanafanywa kwenda vizuri. Kama unataka mambo yako yaende vizuri, yafanye yaende vizuri. Na habari njema ni kwamba kila mtu anajua afanye nini na …

Huu Ndiyo Upande Wenye Mafanikio Makubwa

Mara nyingi huwa tunapenda kuthubutu kufanya kitu fulani lakini wakati mwingine tunashindwa kufanya kwa sababu ya HOFU.Na habari njema ni kwamba pale mahali ambapo pana hofu kwako ndiyo mahali ambapo pana mafanikio makubwa. Kile ambacho unahofia kufanya, ndiyo kina mafanikio makubwa kwenye maisha yako kama ulikuwa hujui. Ili ufanikiwe jaribu kufanya vitu vile ambavyo unahofia …

Utafanya Vitu Vingapi?

Siku moja nilikuwa na rafiki yangu Kocha Dr Makirita Amani, tulikuwa tunaongea kuhusu biashara na fursa mbalimbali. Alinielezea vitu vingi ambavyo vinalipa kwenye biashara.Kutokana na ujuaji wake, nikamuuliza kwa nini sasa hufanyi? Akanijibu, utafanya vingapi mwalimu Deo?Hapa nikajifunza kitu kwamba, hata kama unajua vitu vingi, hata kama unajua kila aina ya fursa, usihangaike kila kitu. …

Usijalaumu Kama Umefanya Sehemu Yako

Ni kawaida ya binadamu kujisikia vibaya pale mambo yanapoenda ndivyo sivyo. Huwa tunapenda kuona mambo yakienda vizuri lakini pale mambo yanapoenda vibaya huwa tunachukia. Bahati huwa haiji mara mbili, kama leo umepata matokeo mazuri jua kuna siku utapata matokeo mabaya. Mambo hayawezi kwenda vizuri siku zote. Unapaswa kukubali hilo na kupokea matokeo ambayo asili inakuletea …

Neno Linalopatikana Kwenye Kamusi Ya Watu Waliofanikiwa

Aliyekuwa mtawala wa ufaransa na jemedari na mbabe wa kivita Napoleon Bonaparte, aliwahi kunukuliwa akisema, msamiati wa neno haiwezekani ni msamiati unaopatikana kwenye kamusi ya wapumbavu tu. Kumbe basi, kama wewe unasema kuna kitu hakiwezekani, basi utakua kwenye kamusi ya wapumbavu. Habari njema ni kwamba msamiati unaopatikana kwenye kamusi ya wajanja au wale waliofanikiwa ni …

Mara Zote Kaa Kwenye Mchakato

Ili uweze kukaa kwenye mchakato lazima uwe na malengo. Na dhumuni la malengo ni kutupa umakini na mwelekeo. Mara zote weka malengo. Ukiwa na malengo ni rahisi kujisimamia na hata kujiboresha. Huwezi kuboresha kile ambacho hakipo.Kuwa na malengo na kisha yaandike kila siku asubuhi malengo hayo. Maisha bila malengo yanakera. Kuwa na malengo ya siku, …

Usitaharuki

Kila mmoja wetu anakutana na changamoto mbalimbali katika maisha yetu. Ziko zile changamoto ambazo ziko ndani ya uwezo wetu na zile ambazo ziko ndani ya uweze wetu.Kitu ambacho watu wengi huwa wanafanya pale wanapokutana na changamoto ni kutaharuki. Unaporuhusu akili yako kutaharuki basi utulivu wa akili unapotea. Tulia, vuta pumzi ndani na kutoa nje. Chukulia …

Sijui Hata Nifanye Nini Kwa Huu Muda

Rafiki yangu, Isije ikatokea hata siku moja kwenye dakika yoyote ya maisha yako ukasema sijui hata nifanye nini kwa muda huu kwani utapoteza muda unaojiuliza kwa namna hiyo.Watu wa kawaida huwa wanafikiria jinsi gani watatumia muda wao, watu wenye akili huwa wanafikiria jinsi gani watawekeza muda wao.Kila siku wekeza muda wako kwenye mambo ya maana. …

Ukarimu Unaachilia Baraka

Hapo zamani za kale katika historia ya maandiko kulikuwa na Sara pamoja na Ibrahim.Sara na Ibrahim walikaa kwa muda bila hata kupata watoto. Na kwa umri waliokuwa nao ilikuwa ni kazi sana hata tu kibailojia kupata mtoto.Hata wao wenyewe walijua wazi ya kwamba hawatapata mtoto kwa umri walio nao.Sina uhakika kama itakufaa lakini njia za …

Kila Sehemu Itakuwa Ngumu Kama Wewe Mwenyewe Hutakuwa Mgumu

Watu wengi wanafikiri kwamba kwa sababu pale walipo sasa ni pagumu na wataweza kwenda sehemu nyingine ambapo ni rahisi.Kifupi ni kwamba, kila sehemu Itakuwa ngumu kama wewe mwenyewe hutakuwa mgumu. Mafanikio kwenye maisha ni uwezo wako wewe kupambana na changamoto, kuvuka magumu na kutokukata tamaa.Kama hutakuwa mgumu kwenye maisha ni ngumu kutoboa kwa sababu hutadumu. …

Design a site like this with WordPress.com
Get started