Kama haupo tayari kuchukuliwa kama mtu mwenye roho mbaya, tayari unakuwa umepishana na mafanikio makubwa. Katika safari ya mafanikio makubwa tegemea kukutana na mengi, sasa ukiwa laini na mtu wa kuogopa kwamba watu watakuchukuliaje hakika ni ngumu kutoboa na utapishana na mafanikio makubwa. Pale unapoamua kunyooka kama asili ilivyonyooka, unapoamua kufanya yaliyo sahihi mara zote …
Kuwa Na Mtu Wa Kukushika Mkono
Mara nyingi pale tunapokuwa tunataka kuanza kitu fulani tunakua hatuna njia ya uhakika ya kufanya kitu hiko. Kwenye kila eneo la maisha yetu, tunahitaji mtu ambaye atatushika mkono kwenye eneo hilo, alipopita yeye na wewe upite na hii ni kwa wale ambao tayari wameshafanikiwa kwenye eneo ambalo wewe unataka kupita. Unapokuwa unaenda sehemu, kama ni …
Wanaotamani Ni Wengi
Wanaotamani kuwa na mafanikio makubwa ni wengi sana. Lakini, wanaofanya ni wachache. Wengi wanatamani kuwa na maisha fulani lakini wanaofanyia kazi kuwa na maisha hayo ni wachache. Habari njema ni kwamba wewe rafiki yangu unaweza kuwa katika upande wa waonafanya ili wapate na siyo wanaotamani. Usitamani mambo yatokee, bali yafanyie kazi ndiyo yatatokea. Kila ambaye …
Usiache Kufanya Hata Kama Unapitia Changamoto
Hata kama unaumwa, sehemu nyingine za mwili wako hazijawahi kuacha kuendelea kufanya kazi zake kama kawaida. Kama unaumwa mafua, hujawahi kusikia moyo ukisema kwa kuwa huyu anaumwa basi ngoja na mimi leo nipumzike. Moyo unaendelea kufanya kazi licha ya wewe kuendelea kuumwa.Hapa unajifunza nini? Kuwa kama mwili wako, sehemu ya mwili ikiumwa siyo kwamba sehemu …
Continue reading "Usiache Kufanya Hata Kama Unapitia Changamoto"
Faida Moja Wapo Ya Kuwa Na Mfumo Wa Kuendesha Biashara
Biashara nyingi huwa zinawategemea wamiliki moja kwa moja, yaani wasipokuwepo basi na biashara nayo inakufa. Tunaona biashara nyingi zinakufa kwa sababu ya wamiliki hawakuacha mfumo wa kuendesha biashara hizo. Biashara nyingi zinaendeshwa kama mmiliki wa biashara ndiyo anakuwa fundi, asipokuwepo fundi basi mambo mengine hayawezi kwenda. Watu wakubwa waliofikia mafanikio makubwa, waliweza kuziacha biashara zao …
Continue reading "Faida Moja Wapo Ya Kuwa Na Mfumo Wa Kuendesha Biashara"
Vitu Vitatu Vinavyowakwamisha Watu Kutokufanikiwa
Kama kuna mahali hupigi hatua basi ziko sababu ambazo zinakukwamisha wewe. Na ukiweza kuzijua utazitumia kujitathimini na kisha kuwa bora. Na sababu hizo ni ; Moja ni Kutokuchukua hatua kubwa.Watu wengi wanachukua hatua ndogo kwenye maisha yao, hawataki kujitesa, wanataka wapate mafanikio bila kazi. Hata kama mtu anapitia hali ya hatari kwenye maisha yake, wala …
Continue reading "Vitu Vitatu Vinavyowakwamisha Watu Kutokufanikiwa"
Utakua Na Mtazamo Chanya Kwenye Hili?
Mtu aliyekuepo duniani miaka 100 iliyopita akifufuka leo ataona maisha yamerahisishwa sana. Tukianzia kwenye masomo, kwa mfano somo la hisabati kwa wanafunzi walikuwa hawana majibu ya kuchagua lakini kwa sasa yapo na tena wanatumia na kikokotoa yaani calculator. Unaona ilivyokuwa rahisi, mtu aliyesoma zamani kwa sasa hawezi kufeli kabisa na hata wanaofeli sasa hivi watu …
Kinachotuunganisha
Kipo kitu kimoja ambacho kinatuunganisha sisi sote na kuwa kitu kimoja nacho ni imani. Uko katika mahusiano ya ndoa na huyo uliye naye kwa sababu unamwamini. Kama siyo imani wala usingekuwa naye. Imani ndiyo inatufanya sisi tuweze kuwa kitu kimoja. Umechagua kufanya kile unachofanya sasa kwa sababu una imani na kile ulichochagua. Tunajihusisha na watu …
Falsafa Inayojenga Kila Kitu
Binadamu ni viumbe vya hisia, hivyo pale unapojenga vitu kwa kutumia vitu ambavyo havigusi hisia zao za ndani ni rahisi kufanya kwa muda lakini ni ngumu kufanya kwa muda mrefu. Kipo kitu ambacho kinajenga kwenye kila eneo la maisha yetu, na kitu hicho ni upendo na wala siyo kitu kingine. Siyo kwamba vitu vingine havijengi …
Jisukume kufanya zaidi
Kuna wakati unapanga ratiba ya kufanya kitu, inapofika ule muda wa kufanya, badala ufanye kile ulichopanga kufanya, unaanza kutafuta sababu za kwa nini usifanye. Pale inapotokea hivyo, unajiambia utafanya baadaye, kesho na sababu nyingi nzuri, usikubali, JIKAMATE WEWE MWENYEWE, anza kufanya kile ulichopanga kufanya. Wewe anza tu hata kama hujisikii kufanya lakini baada ya muda …