Watu huwa wanafikiria kwamba ukiwa na biashara basi kila kitu ni cha kwako na unaweza kufanya kile unachotaka. Unaweza kuwa mmiliki kweli lakini siyo kwamba unaweza ukafanya vile unavyotaka. Kwa sababu biashara ni kitu ambacho kinajitegemea chanyewe. Wale ambao wanafanya vile wanavyotaka huwa wanapata shida kubwa kwenye biashara. Watatumia mali za biashara vile wanavyotaka. Rafiki …
Epuka Kufanya Mambo Haya Ili Biashara Isife
Bilionea Charlie Munger aliwahi kunukuliwa akisema, ninachotaka kujua ni wapi nikienda nitakufa, ili niepuke kwenda hapo. Unapaswa kujiuliza kwenye biashara yako, ni kitu gani ukikifanya biashara yako itakuwa ili uepuke kufanya kitu hicho. Kuna mambo mengi ambayo unakuwa unafanya kwenye biashara yako ambayo yanasababisha biashara yako kufa. Kwa mfano, mauzo kidogo, kutokuwapigia wateja wako simu, …
Continue reading "Epuka Kufanya Mambo Haya Ili Biashara Isife"
Una Matarajio Gani?
Watu wengi kila wakati huwa wanapenda kuwa na matarajio makubwa kwenye kitu fulani. Ni jambo zuri kuwa na matarajio juu ya kitu fulani. Tunachokosea kwenye matarajio, ni kujiachilia kabisa kwenye matarajio hayo makubwa bila kujiandaa upande wa pili. Unapata kitu fulani, na unakuwa na matarajio, huo ni mchakato lakini kuwa na matarajio siyo kwamba dunia …
Hii Siyo “Levo” Yako
Kwenye maisha wale ambao tuko levo moja yaani kiwango kimoja cha maisha akifanya kitu huwa tunakuwa na wivu au kuumia. Lakini kitu hicho akifanya mtu ambaye tunajua siyo levo yetu huwa hata hatuumii. Pata picha raisi akipita mahali fulani na magari ya kifahari utamwonea wivu? Wala hutomwonea wivu. Unajua kwa nini? Kwa sababu, raisi siyo …
Usijiwekee Mipaka Ya Kitaaluma
Kama unataka kufanikiwa kwenye maisha, usikubali kubanwa na mipaka ya kitaaluma. Kuna watu ambao maisha yao yanabanwa na mipaka ya kitaaluma kiasi kwamba wanashindwa kwenye maeneo mengine ya maisha yao. Kwenye maisha unatakiwa kujifunza kile unachotaka kujua na siyo vinginevyo. Bilionea Charlie Munger,Aliwahi kunukuliwa akisema, sikuzingatia mipaka ya kitaaluma, badala yake nilijifunza kila nilichotaka kujua. …
Maisha Yangekuwaje Kama Kusingekuwa Na Kitu Hiki?
Pata picha kama kungekuwa na mtu ambaye hafi, anaweza kufanya kila kitu peke yake, yupo kila mahali. Huyo mtu angekuwa wa namna gani?Kwenye maisha, ukomo ndiyo unaleta ladha ya maisha. Hata uhai wetu una ukomo. Unapopata nafasi, unatakiwa kuishi vizuri kwa sababu unajua utakufa. Ukomo ndiyo unaleta maana ya kitu kwa sababu kitu chochote ambacho …
Continue reading "Maisha Yangekuwaje Kama Kusingekuwa Na Kitu Hiki?"
Kama Kitu Ni Kibaya Utajitajidi Kukiepuka
Kwenye jamii zetu, tumeaminishwa kwamba utajiri ni kitu kibaya. Matajiri ni watu wabaya ambao wao ndiyo wanafanya maisha ya wengine kuwa mabaya kwa sababu ya wao kumiliki vitu vingi. Tumeaminishwa kwamba umasikini ni kitu kizuri na utajiri kitu kibaya. Mtu anapokuwa, tayari anakuwa ameshajijengea mtazamo hasi juu utajiri na mafanikio kwa ujumla. Na kama kitu …
Continue reading "Kama Kitu Ni Kibaya Utajitajidi Kukiepuka"
Kanuni Ya Kwanza Ya Fedha
Fedha ni jawabu la mambo yote hilo halina ubishi.Kila mmoja wetu anajua umuhimu wa fedha kwenye maisha yake. Ni kawaida matumizi kuongeza pale kipato kinapoongezeka. Usipokuwa makini na hili, utajikuta pale pale.Haijalishi unapata kiasi gani, unapaswa kuishi chini ya kipato chako. Na shule ya kwanza ya fedha ni matumizi yasizidi kipato.Hii ni kanuni ya msingi …
Jenga Kitu Hiki Muhimu Kwenye Maisha Yako
Kila mwaka watu huwa wanahangaika na njia mpya za mafanikio. Na kwa uhalisia hakuna njia mpya za mafanikio. Ili uweze kufanikiwa kwenye maisha yako, unapaswa kujenga kitu kimoja tu na kitu hicho ni tabia. Watu wengi wanataka kufanikiwa lakini wanakosa kitu kimoja tu ambacho ni tabia.Chochote kile ambacho unaona watu wanafanya, ni kwa sababu ni …
Continue reading "Jenga Kitu Hiki Muhimu Kwenye Maisha Yako"
Huu Ndiyo Wakati Mzuri Wa Kubadili Mambo
Rafiki yangu nikupendaye, Kama kitu hakipo sahihi, kirekebishe kabla mambo hayajaharibika. Chukua hatua mapema, usisubiri mpaka mambo yaende ndivyo sivyo ndiyo uchukue hatua. Wakati mzuri wa kubadili mambo yaliyoharibika ni kabla hayajaharibika, na unaweza kufanya hivyo kwa kuchukua hatua kwenye mambo madogo ambayo hayana madhara na yanaweza kupuuzwa, lakini baadaye yanatengeneza madhara makubwa. Usifiche chochote …