Maisha yana pande mbilimaana na raha. Huwezi kuishi tu maisha yenye maana bila raha na huwezi tukuishi maisha ya raha bila kuwa na maana. Tunatakiwa tuiegemee eneo moja lamaisha bali tunatakiwa kuwa na mlinganyo wa maisha ambayo unakuwa na mlinganyo katika maeneo haya ya kiroho, kiakili na kimwili. Najua katika mwaka huuumekutana na mengi, yapo …
Continue reading "Kabla Ya Mwaka KuishaUsisahau Kujifanyia Kitu Hiki Muhimu Kwako"