Huu Ndiyo Muda Ambao Hauna Foleni Kabisa Kwenye Maisha Yako

Mpendwa rafiki yangu, Kwa wale wanaoishi katika majiji kitu kinachoitwa foleni imekuwa ni kitu cha kawaida sana. lakini mimi siko hapa kukushirikisha foleni ya barabarani. Muda wetu umekuwa mfupi sana na mambo ya kufanya ni mengi sana tunajikuta tunajiambia tutafanya kesho na kesho imekuwa kesho mpaka mwaka unaisha. Mambo siyo marahisi kama unavyofikiria ila inawezekana …

Hii Ndiyo Bidhaa Ambayo Huruhusiwi Kununua Ukienda Sokoni

Mpendwa rafiki yangu, Natumaini kila mmoja wetu ananunua na linapokuja suala la kununua hisia zinakuwa mbele kuliko fikra. Watu wengi wanapoteza fedha nyingi katika manunuzi ambayo hayana tija. Unapokwenda sokoni au kununua kitu chochote unatakiwa uwe makini sana la sivyo utajikuta unanunua hata vile ambavyo hukupanga na kuja kushtuka fedha imeisha. Hivyo basi, unapoenda kufanya …

Kitu Cha Kutomnyima Mtoto Katika Malezi

Mpendwa rafiki yangu, Wazazi wengi wanawapenda watoto wao na hilo ni jambo zuri mzazi kuwajibika katika swala la upendo. Tunawalea watoto utafikiri kama vile tutaishi nao milele tuna watukuza watoto kwa kuwapa kile wanachotaka katika maisha yao. Watoto wamekuwa wanawaendesha wazazi wakisema wanataka kitu fulani wazazi wasipokuwa nacho basi hapo nyumbani mtoto atasusa na wazazi …

Sehemu Pekee Itakayokufundisha Nidhamu Ya Fedha.

Mpendwa rafiki yangu, Linapokuja suala la fedha basi watu wengi nidhamu binafsi juu ya fedha hawana. Watu wakiwa hawana fedha, wanakua na mipango mizuri sana lakini wakishazipata fedha hizo ile mipango yote mizuri inapotea. Wengi wanalalamika kuwa wakipata fedha haikai na pale fedha inapoisha ndiyo akili huwa inarudi. Kuna kile kiwango cha fedha ambacho watu …

Huyu Ndiye Adui Mkubwa Wa Kupambana Naye

Mpendwa rafiki yangu, Kila mmoja wetu anatamani kuwa na maisha mazuri na kupata kile anachotaka. Lakini, wengi tunataka mabadiliko yatokee katika maisha yetu huku tukiwa tumebaki kama tulivyo. Kwa mfano, mtu anataka apungue uzito huku akiwa anataka abaki vile vile bila kubadilisha mfumo wa maisha yake. Najua unapambana kila siku je unapambana na adui gani? …

Huyu Ndiye Mtu Unayepaswa Kumfuatilia Siku Hii Ya Leo

Mpendwa rafiki yangu Wengi huwa tunapenda kuwafuatilia watu lakini watu tunaowafuatilia huwa hawaleti matokeo makubwa katika maisha yetu binafsi. Juhudi wanazoweka watu kufuatilia mambo ya watu ni kubwa ukilinganisha na kujifuatilia wao wenyewe. Leo achana na mambo ya watu halafu anza kujifuatilia wewe mwenyewe. jifuatilie yale uliyopanga kufanya umeyafanya na kama bado unapata wapi muda …

Jinsi Ya Kumbadilisha Mwenza Wako au Mtu Yeyote Yule

Mpendwa rafiki yangu, Mtu mmoja alisema hakuna kazi ngumu kama kuongoza watu, ni bora kuongoza kondoo wataweza kwenda njia moja lakini siyo watu. Kuongoza watu ni kama vile kuswaga paka kila mmoja atakimbilia njia yake anayetaka yeye lakini ukiswaga kondoo wote wataenda njia moja. Hapa unaweza kuona kuwa ni ngumu sana kuwabadilisha watu vile unavyotaka …

Hili Ndilo Hitaji La Kwanza La Mteja Wako

Mpendwa rafiki yangu, Kama tunavyojua biashara ni wateja kama biashara haina mteja ni kazi bure. Wateja ndiyo watu wanaofanya biashara yako ikue. Ndiyo wanalipa bili nyingi na hata kukulipa wewe hivyo ni watu wa kuheshimiwa sana. Kama ukiajiriwa mwajiri ndiyo bosi wako na umejiajiri basi mteja ndiyo bosi wako unatakiwa kumsikiliza na kumpatia huduma bora …

Hiki Ndiyo Kipindi Cha Kufurahia Sana Katika Safari Ya Mafanikio

Mpendwa rafiki yangu, Najua kila mmoja wetu anaposikia mafanikio huwa anafuraha kusikia na hakuna hata mmoja wetu anayeweza kunyoosha kidole chake na kusema kuwa yeye hahitaji maisha mazuri. Asili ya binadamu ni kupenda raha ndiyo maana wengi ni wavivu, uvivu ni mwamvuli wa kupenda raha, kukataa kuutesa mwili kwa sababu ya kuendelea kupata raha fulani. …

Jinsi Ya Kutokubali Kujiingiza Katika Mikopo

Watu wengi wanadaiwa tena madeni mbalimbali tu. Leo hii watu wanadaiwa hata na mitandao ya simu kama vile voda, tigo nk katika simu zao. Kupitia tu mikopo ya kukopa salio kupitia mitandao ya simu ninaona ni jinsi gani watu wanavyopata shida na mikopo hiyo. Hakuna mkopo ambao haukupi fedhea, asili ya mikopo ni adhabu na …

Design a site like this with WordPress.com
Get started