Huu Ndiyo Ufalme Ulio Mkuu Kuliko Ufalme Wote

Maisha ya kujiamini ni maisha ya kifamle au kimalikia. Wafalme wanaishi vile watakavyo vivyo hivyo hata malikia wanaishi vile watakavyo. Ni watu wanaojikubali sana siyo kwamba malikia ni watu wazuri sana au walioumbika sana bali wanajiamini sana kwa nafasi waliyo. Kila mtu ni mfalme na malikia wa maisha yake. Unatakiwa kufurahia maisha yako na usisubiri …

Njia Bora Kabisa Ya Kumsaidia Mtu Masikini

Heri ya mwaka mpya 2019 rafiki yangu, uwe ni mwaka wa mafanikio makubwa kwenye kila eneo la maisha yako. Hivi umasikini unakupa faida gani? kama umasikini unakupa mateso kwanini sasa usipambane kuwa tajiri? Hata kama huna fedha mfukoni usijikirishe imani ya kuwa wewe ni masikini. Hakuna kitu kibaya au kizuri kama kukiri imani. Hata katika …

Kwanini Watu Wengi Hawapendi Kuwekeza

Rafiki, Kuwekeza ni jambo zuri lakini pia kuwekeza kuna hatari yake pia na hii ndiyo inawafanya watu wengi kukimbia uwekezaji. Kuwekeza ni kama kitendawili kuna kupata au kukosa. Watu wengi wanaogoapa sana kuwekeza kwa sababu ya hofu ya kupoteza fedha zao. Hata wewe huenda unataka kuwekeza katika jambo fulani au kufanya biashara lakini kinachokufanya usianze …

Mbinu Bora Ya Kuishi Maisha Yako Na Kuwa Na Mafanikio Makubwa

Mpendwa rafiki yangu, Huenda kuna watu tokea wazaliwe hawajawahi kuishi maisha yao. Kuishi maisha yako ni kuishi vile upendavyo wewe na sasa hiyo imekuwa ni changamoto ya watu wengi. Kuna gharama za kuishi maisha yako, hivyo kama unataka kuishi maisha ukubali kuzilipa mapema. Maisha bora ya kuishi maisha yako iwe ni kwenye kazi, biashara na …

Njia Ya Uhakika Ya Kupata Utajiri Na Fedha

Rafiki, Chochote unachotaka, unachotafuta kipo mikononi mwa watu. Watu wamekuwa wakitafuta siri ya mafanikio, nini kinachofanya wachache kufanikiwa na wengine kutofanikiwa. Watu wamekuwa wanakimbizana na fursa kila siku, yaani mpaka inafikia mwisho wa mwaka mtu hajui anasimamia fursa gani, akisikia fursa ya matikiti anafanya, huku akiwa bado hajamaliza akisikia fursa ya tangawizi anaacha ile ya …

Jinsi Ya kuuwahi Muda Kabla Haujakuwahi Wewe

Mpendwa rafiki, Kila mmoja wetu anapoteza muda kwa namna yake. Na hakuna hata mtu mmoja anaweza kusimamisha muda usiende. Hata mabilioni ya biligeti hayawezi kununua hata dakika moja ya muda. Hivyo basi, muda una thamani kubwa katika maisha kuliko hata fedha. Ukiwa na muda utapata fedha kwa kuwa muda ndiyo mtaji wa vitu vyote tunavyoviona …

Hiki Ndiyo Kitu Kinacholipa Kwa Mara Ya Kwanza Unapokutana Na Mtu

Rafiki, Unapokutana na mtu mara ya kwanza ile picha utakayomwachia ndiyo itaendelea kutawala katika akili yake. Hivyo basi, Unapokutana na mtu kwa mara ya kwanza hakikisha unatokea katika mwonekano mzuri, vaa vizuri unekana kweli ni mtu ambaye ana sifa fulani. Kama unavaa vaa kama mtu anayekwenda kufanya kazi sehemu fulani, uvaaji unaweza kukushushia hata hadhi …

Kitu Pekee Unachoweza Kukitawala Siku Hii Ya Leo

Rafiki, Binadamu tumepewa uwezo wa kutawala lakini siyo kila kitu tunaweza kutawala. Kuna vitu vingine ukitaka viende kama vile tunavyotaka wewe basi utakua umechagua kujiumiza wewe mwenyewe. Hutakiwi kupata tabu unachotakiwa ni kujua ni unaweza kutawala ndani ya siku basi, ushindi ni kuweza kutawala kile ambacho unaweza kukitawala. Ndiyo maana hata anayefukuza sungura wawili matokeo …

Kitu Ambacho Hurusiwi Kufanya Siku Hii Ya Leo

Mpendwa rafiki yangu, Dunia huwa inatupa kile tunachokitaka na tunakizungumzia kila mara katika midomo yetu. katika jamii zetu kulalamika ndiyo utamaduni uliozoeleka, ukienda ofisini watu wanalalamika, kwenye usafiri watu wanalalamika, kwenye nyumba za ibada watu wanalalamika. Hivi ni eneo gani la maisha yako umeona sehemu ambayo watu hawana utamaduni wa kulalamika? Binadamu tumekuwa ni watu …

Kama Unataka Kuuza Sana,Mfanyie Mteja Wako Kitu Hiki

Rafiki, Kama unatoa huduma yoyote ile na unategemea kulipwa kadiri ya huduma yako basi mteja ndiyo bosi wako. Bila yeye wewe huna biashara, yeye ndiyo anafanya wewe uwe na mauzo na kupitia mauzo unapata keshi ya kuweza kuendesha biashara,kazi au huduma unayotoa. Kama umeajiriwa bosi wako ndiyo mteja namba moja na kama umejiajiri mteja wako …

Design a site like this with WordPress.com
Get started