Hii Ndiyo Fedha Ambayo Huruhusiwi Kuitumia

Mpendwa rafiki yangu, Kila mwanadamu ambaye ana akili timamu hawezi kubisha kuwa fedha siyo muhimu kwenye maisha yake. Watu wengi wanafanya kazi lakini wamekuwa ni watu wa madeni makubwa.  Mtu anakuwa hana anachopata mwisho wa mwezi fedha yote inaenda kwenye madeni. Madeni ni mabaya yanawafanya watu kuwa watumwa. Fedha ambayo huruhusiwi kuitumia ni ile ambayo …

Heshima Mbili Muhimu Za Kujijengea Eneo La Kazi

Kila kazi ina taratibu zake lakini tukija kwenye matokeo pia kila kazi ina matokeo yake kadiri ya utendaji wake wa kazi. Kazi ndiyo rafiki yetu mzuri, Kwani anatupatia kile tunachotaka katika maisha yetu. Tukifanya kazi tunazalisha thamani na watu wanakwenda kutulipa kadiri ya thamani tunayoitoa eneo la kazi. Kazi ndiyo inatuletea heshima na utu wetu. …

Hekima Ya Kipekee Sana Unayopaswa Kuwa Nayo Kwenye Karne Ya 21

Mpendwa rafiki yangu, Kwenye dunia ya leo kila mmoja anajua kila kitu. ujio wa mitandao ya kijamii umewafanya watu kuwa mafundi wa kila kitu hata kama siyo fundi wa kitu hiko atataka achangie kitu na kutoa maoni yake juu ya kile kitu. Huwezi kujifunza kitu kutoka kwa wengine kama wewe ni mtu wa kujifanya unajua …

Usitegemee Kufanikiwa Kwa Fedha Hii

Rafiki, Kazi ni shughuli yoyote halali inayompatia mtu kipato. Na tukirudi katika msingi wa fedha tunaambiwa kuwa fedha ni zao la thamani hivyo kama huna unachotoa, basi ni wazi kwamba hutoweza kupata kitu. Kumbe basi, fedha ni kutoa na kupokea. Usitegemee utafanikiwa kifedha kwa njia ya dhuluma. Fedha ya dhuluma huwa haikai itaondoka kwako kama …

Hiki Ndiyo Kiwango Sahihi Cha Fedha Unachopaswa Kupata Kila Mwezi

Rafiki, Fedha ni muhimu katika maisha yetu hilo halina ubishi kabisa. Karibu kila kitu kinahitaji fedha ili mambo mengine yaende katika maisha yetu bila fedha mambo yanakuwa ni magumu lakini tukiwa na fedha mambo mengi yanawezekana. Kileambacho tunakipata kila mwisho wa mwezi, kila siku, wiki ambacho ni kipato tunachopata kutoka katika kazi au biashara. Ni …

Hiki Ndiyo Kitu Cha Pekee Unachoweza Kukipata Kwa Mtu Yeyote Na Kunufaika Nacho

Mpendwa rafiki yangu, Wewe ni mtu wa kipekee sana hapa duniani. Tokea dunia iumbwe na Mungu hakujawahi kutokea mtu kama wewe. Wewe ni zawadi ya dunia , una ubora ndani yako, umezaliwa kwa ajili ya mtu fulani na nafasi ni nzuri sana kwenye kujaza hii dunia. Toa thamani iliyoko ndani yako, wewe ni zawadi kwako …

Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Wanandoa Wengi Wanaoga Kuambiana

Mpendwa rafiki yangu, Kwa asili hakuna kitu kibaya au kizuri. Ubaya au uzuri wa jambo unaletwa na tafsiri zetu juu ya kile kitu. hivyo basi, wako ambao wanaona ndoa ni kitu kizuri na wengine wanafikiria kinyume na hivyo. Kila mtu ana mtazamo wake na kila mtu yuko sahihi kadiri ya kile anachokiamini yeye. Ukikaa na …

Usiingie Katika Biashara Kama Una Roho Hii

Mpendwa rafiki, Ni rahisi watu kuongelea biashara kwa njia ya mdomo, miaka nenda rudi, na ziko sababu nyingi zinazowafanya wasichukue hatua lakini ukizichunguza ni za uwongo, wako ambao watakuambia mtaji ndiyo shida na sababu nyingine nyingi ambazo hazina mashiko. Katika zama hizi, kutegemea kipato kimoja ni hatari sana na lolote linaweza kutokea hata katika hicho …

Hii ndiyo Mbinu Ya Kumfanya Mtoto Wako Kuwa Bora

Watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu. Hakuna aliyeandika barua kuwa anataka kuzaliwa au alichagua azaliwe na wazazi fulani. Wote tumejikuta tumezaliwa na wazazi ambao tunao sasa. Kuzaa siyo kazi, kazi kulea mwana. Hakuna kazi ngumu kama malezi , hiki ni kipindi cha kumuunda mtoto vile unavyotaka wewe, tukikosea katika malezi, tumekubali kuwaharibu watoto wetu sisi …

Kitu Ambacho Kipo Nje Ya Uwezo Wako

Muda mwingine ukitaka mambo yaende kama ulivyopanga wewe utashindwa. Huwezi kuzuia dunia iende kama vile unavyotaka wewe. Huwezi kuzuia matukio ya dunia bali unachotakiwa yaruhusu yatokee kama yalivyopangwa kutokea. Kutaka watu wafanye kama unavyotaka wewe,waende kama vile unavyotaka wewe ni kitu ambacho kipo nje ya uwezo wako. Watu wanaishi vile wanavyotaka wao ila ukienda kinyume …

Design a site like this with WordPress.com
Get started