Fanya Vitu Hivi Viwili Katika Mambo Ya fedha

Mambo ya fedha ni magumu kwa sababu sisi wenyewe ndiyo tunayafanya kuwa magumu kwa sababu ya kushindwa kuishi misingi ya fedha. Kuishi misingi ya fedha inahitaji nidhamu kweli. Ndiyo maana wanaofanya vizuri eneo hili wako wa chache na wengi wanashindwa kwa sababu ya kukosa uthubutu wa kuwa na nidhamu. Fanya vitu hivi viwili katika mambo …

Hili Ndiyo Jawabu La Kwanini Mambo Ni Magumu

Ndoto zetu zinatakiwa zifanyiwe kazi. Kama una ndoto ya kujenga ghorofa angani anza kujenga msingi kuanzia chini. Kuendelea kukaa na ndoto bila kuifanyia kazi huna tofauti na mtu ambaye hana ndoto. Kama tuna ndoto halafu hatuchukui hatua ni sawa sawa na wale ambao hawana ndoto. Kwanini mambo yanakuwa magumu? Mwanafalsafa wa kistoa Seneca aliwahi kusema,si …

Hiki Ndiyo Kinachokufanya Uumie Pale Mtu Anapokutukana

Najua kuna watu ambao wameshakuudhi sana kwa sababu ya kukutusi. Muda mwingine unapata hasira kweli, kwanini fulani anitukane na kupelekea hata ugomvi. Katika falsafa ya ustoa, unatakiwa kujiandaa na yote pale unapoianza siku yako asubuhi. Jiandae kabisa utakutana na watu wakorofi, wadhulimishaji, wabishi, waizi nk na ikitokea kama mtu miongoni mwa hao akikufanyia ubaya, utajiambia …

Mtu Pekee Anayeweza Kubadilisha Maisha Yako

Huenda unasubiri miujiza ya mtu aje kubadilisha maisha yako. Kama kuna mtu shujaa duniani ambaye ana siri kubwa, uwezo ndani yako wa kufanya makubwa kabisa  basi ni binadamu. Wewe ndiyo kinara wa maisha yako, wewe ndiye mtu pekee unayeweza kubadilisha maisha yako kuliko mtu mwingine yoyote yule. Wewe ndiyo umeshika ufunguo wa mafanikio yako, hivyo …

Hii Ndiyo Sifa Ya mzazi Bora

Mzazi ndiyo kiongozi mkuu wa watoto hapa duniani. Watoto wanawategemea wazazi kwa kila kitu. Bila mwongozo wa wazazi mtoto anakua anakosa mwelekeo mzuri. Mzazi yeyote anayependa mtoto wake awe bora inawezekana mtoto kuwa bora kama tu mzazi akiamua yeye mwenyewe kuwa bora. Sifa ya mzazi bora ni yule anayebariki watoto wake na siyo kulaani watoto …

Kwanini Mali, Utajiri Au Fedha Ni Nguvu

Fedha ni jawabu la mambo yote. Fedha ni muhimu kweli na kila mtu ana lijua hilo. Hata kukusoma hapa umetumia fedha ingekuwa huna fedha usingeweza kuingia kwenye mtandao huu. Watu wengi wamekuwa na unafiki sana kwenye suala la fedha. Unafiki wenyewe uko pale ambao watu wanajifanya hawataki fedha au mali au utajiri kumbe wanahitaji na …

Vitu Vyote Tunavyovitafuta Tunasukumwa Na Vitu Hivi Viwili

Jinsi unavyoyaona maisha ya binadamu yalivyo mchakamchaka kila siku.  Tunapambana huku na huko ili kupata mafanikio tunayotaka lakini kuna vitu viwili vinavyotusukuma kila siku. Kila binadamu anasukumwa na vitu hivi viwili kwenye maisha yake ya kila siku. Vitu venyewe ni; Kupata kile tunachotaka (furaha). Kila mmoja wetu anasukumwa  kila siku ili kuweza kupata kile anachotaka …

Hii Ndiyo Aina Ya  Upendo Ambao Wazazi Wanapaswa  Kuonesha Kwa Watoto Wao

Ukienda dukani kununua simu, pasi, TV unanunua kile kitu ukiwa umepewa namna ya  kukitumia kile kitu,ndani ya bidhaa utakuta kuna karatasi ya maelekezo. Hivyo basi, mtoto anapozaliwa hospitali hakuna kitabu cha maelekezo ambacho utapewa namna ya kumlea mtoto. Wengi wanajikuta wanawalea watoto kadiri ya wao walivyolelewa. Watoto mara nyingi wanapenda kujifunza kutoka kwa wazazi wao …

Hakuna Kazi Ngumu Kama Hii

Sijawahi kusikia mtu amekufa kwa sababu ya kazi. Ila uvivu wa watu ndiyo unawafanya watu kuona kazi ni ngumu. Lakini hakuna kazi bila kazi. Kila kitu kinahitaji kazi ili uweze kuona matokeo yake. Kwa wajapani, kuifia kazini ni ushujaa mkubwa lakini kwa jamii yetu wengi kazi wanaona kama vile ni adhabu lakini kwa wenzetu kuifia …

Jinsi Ya Kuanza Siku  Yako Ukiwa Na  Fikra Nyingi Za Kifedha

Mpendwa rafiki yangu, Kila siku dunia inabadilika, hivyo usipokuwa ni mtu wa kubadilika na wewe lazima utaanguka vibaya. Uchumi unabadilika hata asili siku hizi ibadilika, watu waliokuwa wanategemea mvua ili wa lime lakini mwaka mambo yamekwenda tofauti. Kwahiyo, tuwe tunajiandaa na chochote kinaweza kutokea hakuna hali ya kudumu. Usiwe kama mti, kuwa mtu unayeweza kubadilika, …

Design a site like this with WordPress.com
Get started