Ili Nidhamu Yako Iwe Vizuri, Hakikisha Unakuwa Na Kitu Hiki

Mpendwa rafiki yangu, Kwa lugha rahisi tu, hakuna mafanikio yoyote bila nidhamu. Kila unayemwona amefanikiwa jua kabisa nidhamu ndiyo limetumika kama daraja la mafanikio. Nidhamu ndiyo mama wa mafanikio karibu kila eneo la maisha yetu. Hebu niambie tu, kama ingekuwa huna nidhamu ungekuwa wapi leo? Hongera sana kwa kuwa na nidhamu ya kusoma hapa katika …

Jinsi Shida Inavyoweza Kukufanya Upate Akili

Aliyekuwa waziri mkuu wa uingereza Winston Churchil aliwahi kusema mtazamo ni jambo dogo sana linaloweza kuleta tofauti kubwa. Kwa kauli hiyo basi, tunaweza kusema kuwa matatizo siyo tatizo bali mtazamo wako ulionao juu ya matatizo. Kwa sababu matatizo ndiyo huwainua watu na kuwafanya wanajua hata thamani yao ya ndani iliyolala. Shida inaweza kukufanya upate akili …

Jinsi Ya Kujijengea Tabia Bora

Kila mtu anapenda kuwa na tabia bora tatizo ni namna ya kujenga tabia hiyo. Asilimia kubwa ya vitu tunavyofanya kila siku ni tabia zetu tulizojijengea. Tabia ndiyo inakuwa imetawala sehemu kubwa ya maisha yetu kila siku. Sasa unawezaje kujijengea tabia bora? Ni rahisi sana, kama unataka kujijengea tabia bora juu ya kitu fulani basi fanya …

Haya Ndiyo Mafanikio Makubwa Unayopaswa Kuwa Nayo

Kila mtu anapenda kufanikiwa na kuhusiana na mafanikio kila mtu anaelewa vile anavyotaka yeye kuelewa. Kuna mwandishi mmoja katika kitabu chake aliandika nani atalia pale utakapokuwa umekufa? Hebu jiulize nani atalia? Ili watu waweze kukulilia unatakiwa ufanye makubwa na mpaka unaona watu wakulilie waache shughuli zao za kila siku na kukulilia wewe ni mpaka uguse …

Kitu Pekee Kitakachokutoa Hapo Ulipo

Duniani hakuna mtu masikini bali kuna akili masikini. Ukishakuwa na akili masikini lazima utakua na maisha ya shida kila siku kwa sababu akili ndiyo kitu pekee kinachokuwezesha wewe kufanya maamuzi. Sasa kama akili imelala, ni ngumu kufanya maamuzi sahihi. Ni kitu kidogo sana kitakachokusaidia wewe kutoka hapo ulipo au kubaki hapo hapo ulipo. Kushindwa au …

 Kitu Muhimu Unachopaswa Kuwa Nacho Kabla Ya Kuacha Kazi Kama Umeajiriwa

Mpendwa rafiki yangu, Ni kawaida kuona watu wakitaka kuacha kazi na wengine wakitafuta kazi. Kila mmoja anaangalia maslahi yake baada ya kujitathimini. Kama hakuna faida unayopata kwenye kitu fulani unatakiwa kufanya maamuzi. Wako wanaoacha kazi ili waende wakajiajiri hivyo ukiwa unataka kufanya hakikisha kwanza umefanya kitu ambacho na kwenda kukushauri leo. Kama unataka kuacha kazi, …

Jinsi Ya Kulinda Nguvu Zako Na Kuwa Na Uzalishaji Bora

Mpendwa rafiki, Katika zama hizi watu wengi wamevurugwa na mitandao ya kijamii, mwandishi mmoja anasema watu wamekuwa ni kama misukule wa mitandao ya kijamii. Tafiti zinaonesha kuwa kila baada ya dakika kumi au tano mtu lazima ashike simu yake. Kwa namna kama hii unaona ni jinsi gani nguvu zetu zinakwenda sehemu ambayo siyo sahihi. Unakuta …

Tangaza Vita Dhidi Ya Kitu Hiki Na  Jiwashe Moto leo Kama Unataka Kufanikiwa

Mafanikio siyo lele mama, huwa tunaambiwa hadithi nzuri sana kutoka kwa wenzetu waliofanikiwa hapa duniani. Utasikia alianza kufanya hivi na sasa ni tajiri. Kuna upande ambao watu wengi huwa tuna usahau ni upande wa changamoto. Watu wanapitia magumu mpaka kuja kuwaona wako juu basi wametumia kazi na siyo kazi rahisi. Kama unataka kufika juu lazima …

Kama Umeshindwa Kufanya Hiki, Sahau Kuhusu Mafanikio

Rafiki, Watu wengi waliofanikiwa mafanikio yao hawajayapata kama ajali bali waliweka kazi. Tunaweza kujifunza kwa kila mtu kwa sababu kila mtu kuna kitu kikubwa ambacho amefanya kupitia uzoefu wake wa kila siku. Duniani watu wanachangamoto ya ubinafsi sana, wanapenda kupokea lakini hawataki kutoa. Hata kama mtu anajua hataki kumsaidia mwingine ili ajue. Ukifanikiwa wasaidie wengine …

Mambo Ya Kuepuka Kufanya Katika Kazi

Wote tunajua umuhimu wa kazi. Kazi ndiyo inayotujengea heshima kwa sababu kupitia kazi tunaweza kupata kile tunachokitaka. Unatakiwa ukiwa na kazi basi fanya kazi na usifanye vingine. Unapofanya kazi chini ya kiwango unakuwa unajiharibia kazi na kazi bila kazi hiyo siyo kazi. Epuka mambo hasi katika kazi na weka. Kitu cha kuepuka sana ni mazoea …

Design a site like this with WordPress.com
Get started