Hivi Ndivyo Sheria Ya Asili Haiwezi Kukuacha Salama

Mpendwa rafiki yangu, Hongera sana kwa kutimiza nusu mwaka sasa ya mwaka 2019, uwe na mwezi juni mzuri wenyewe furaha na mafanikio makubwa. Kama tunavyojua dunia inajiendesha kwa taratibu na misingi yake. Kwa mfano, mvua inanyesha vile inavyotaka yenyewe na siyo vile tunavyotaka sisi. Jua linawaka kwa mipango yake yenyewe. Hakuna mtu anayeweza kuiamuru dunia …

Kamwe Usiwe Kama Bahari Hii Iliyokufa Ambayo Haifai Hata Kwa Matumizi

Mpendwa rafiki yangu, Kuna bahari ambayo inaitwa bahari iliyokufa yaani dead sea, ni bahari ambayo haifai kwa matumizi yoyote ile. Hii bahari kazi yake kubwa ni kupokea tu na wala haitoi licha ya yenyewe kupokea sana maji kutoka sehemu mbalimbali. Inaitwa babahri iliyokuwa kwa sababu haina mmea wala samaki wa aina yoyote, yenyewe inapokea tu …

Njia Nzuri Ya Kuweka Akiba

Rafiki, Kila mmoja wetu anafahamu umuhimu wa kuweka akiba katika maisha yake. Huwa ni jambo ambalo tunalielewa vizuri lakini ubishi mkubwa unakuja kwenye utekelezaji wake. Karibu waandishi wengi na watu waliofikia mafanikio makubwa wanatuambia umuhimu wa kuweka akiba. Akiba ni hazina kwa kila binadamu anayeendelea kuishi. Kumekuwa na watu wa madeni mpaka yale madeni yameshakuwa …

Jinsi Ya Kuepuka Kusahau Kufanya Jambo Lako Muhimu

Imekuwa ni kawaida katika jamii yetu watu kusahau kufanya ambayo tulipanga kufanya. Na asili ya binadamu ni kusahau. Hakuna mtu ambaye hasau kabisa na ukizingatia kwa sasa mambo yalivyokuwa mengi ni rahisi sana kusahau. Watu wanatingwa na kazi nyingi kwa sababu maisha yamekuwa ni mchakamchaka kweli hakuna kulala bali kupambana tu. Kila siku mtu anajituma …

Hivi Ndivyo Familia Nyingi Zinapoteza Dira

Mpendwa rafiki yangu, Mama Theresa aliwahi kunukuliwa akisema, familia zinazosali pamoja hukaa pamoja. Je kadiri ya usemi huu wa mama Theresa je leo hii unajidhihirisha katika familia zetu? Ni wangapi wanaweza kusimama na kusema kuwa yeye familia yake iko vizuri kwa sababu wanasali pamoja na kukaa pamoja? Kuna changamoto za familia nyingi zilizopoteza dira hii …

Usidharau Kile Ambacho Unacho

Rafiki, Kama unataka kuona umuhimu wa kile ambacho unacho sasa hebu kipoteze au kikose. Tumekuwa ni watu wa kutothamini kile ambacho tunacho, mara nyingi tumekuwa ni watu wa kuchukulia poa vile ambavyo tunavyo. Usichukulie poa kitu chochote ambacho unacho maana siku ukikikosa utaumia sana. Hata kama kuna kitu huwa unakichukulia poa siku usipokiona utaumia sana. …

Falsafa Ya Kwanza Ya Kuwa Nayo Kabla Hujaanza Safari Ya Mafanikio

Mpendwa rafiki yangu, Kama umeamka na hujui unakwenda kufanya nini ni bora urudi ukalale, kabla ya kulala unatakiwa ujue kabisa kitu chako cha kwanza kufanya ni nini baada tu ya kuamka. Kutokujua nini unakwenda kufanya siku inayofuata ni rahisi sana kupoteza siku yako. Jinsi ilivyo  rahisi kupoteza siku yako ndivyo ilivyo hata katika ndoto ya …

Chanzo Kikuu Cha Umbea Katika Jamii Zetu

Mpendwa rafiki yangu, Katika jamii yetu umbea limekuwa ni jambo la kawaida kwa watu wengi. Watu wamefungua kurasa zao katika mitandao ya kijamii kwa ajili tu ya kuripoti umbea. Watu wamekuwa mabingwa wa kufuatilia habari za umbea kama vile zinawalipa na kusaidia kuendesha maisha yao. Ziko sababu nyingi sana za umbea lakini hii sababu ambayo …

Hiki Ndiyo Kitu Adimu Kwenye Zama Hizi Za Maarifa

Mpendwa rafiki yangu, Zama tunazoishi kila mtu yuko bize, lakini ukimuuliza mtu yuko bize na nini hawezi kukuambia  na mwisho wa siku anakuja kumaliza siku yake akiwa hana alichofanya cha maana huku ukiangalia alikuwa bize siku nzima. Huwa tunaishi maisha ambayo siyo yetu, tunaishi maisha ya kuigiza sana. Tunaonekana kwa nje tuko vizuri lakini ndani …

Njia Nzuri Ya Kutengeneza Fedha

Mpendwa rafiki yangu, Wote tunajua kuwa fedha ni muhimu sana kwenye maisha yetu kupita hata maelezo. Kila mahali fedha inakubalika na ndiyo leo inatusaidia kuendesha hata maisha yetu ya kila siku. Tukiwa na fedha mambo mengi yanawezekana. Ni wajibu wa kila mmoja kuwa na fedha, hakuna faida ya mtu kukaa masikini, kila mtu ajitume kufunga …

Design a site like this with WordPress.com
Get started