Iko kanuni kuu moja ya kupata uhuru wa kifedha na utajiri. Kanuni ambayo wale waliotajirika imewasaidia na hata wewe mwenyewe ukiitumia itakusaidia pia. Yuko mtu ambaye huwa unamsahau sana pale unapopata fedha ambaye ni wewe mwenyewe. Ukipata fedha unawalipa watu wote kasoro wewe mwenyewe. Ukipata fedha tu, baada ya muda mfupi unaanza kumlipa mtu anayekuuzia …
Continue reading "Huyu Ndiye Mtu Unayemsahau Pale Unapopata Fedha"