Kuuliza siyo ujinga. Unapokuwa una safari kwenda sehemu usiyojua yaani wewe unakuwa mgeni huwezi kuona aibu wala kuogopa kuuliza.Lazima utauliza ili usije ukapotea lakini pia uweze kufika kule unakotaka kufika. Unapokuwa hujui kitu, usiogope kuuliza kitu. Hakuna mtu anayejua kila kitu, hivyo unapomuuliza mtu atakujibu kama kipo ndani ya uwezo wake.Na mara nyingi watu wanapenda …
Continue reading "Usiogope Kuuliza Kitu Hiki Kwenye Maisha Yako"