Usijilaumu Kama Ulifanya Hivi

Usipoielewa misingi ya dunia utapata shida sana. Huwa tunataka mambo yaende kama vile tunavyotaka sisi. Kifupi, dunia haiendi kadiri ya matakwa yetu. Bali,Dunia inajiendesha kwa misingi yake, inafanya inavyotaka na siyo vile tunavyotaka sisi. Maisha yetu sisi binadamu ni kama biashara. Kuna wakati unapata faida na kuna wakati unapata hasara. Kama unapata faida tu, jua …

Sababu Moja Kwanini Wewe Ni Muhimu Sana Kufanikiwa

Kwa sababu mafanikio yoyote utakayofikia kwenye maisha yako, hayakufaidishi wewe tu, bali yanawafaidisha wale wote ambao WANAKUZUNGUKA. Ukifanikiwa, utafanya vitu ambavyo vina msaada kwa wengine na hivyo kuwawezesha kuwa na maisha bora. Kuweza kwako itakuwa ni hamasa kwa wengine. Kuweza kwako itakuwa ni ishara kwa wengine kwamba kumbe inawezekana. Jitahidi sana ufanikiwe maana utawainua wengine, …

Kama Unataka Kwenda Mbele, Badili Vitu Hivi Viwili

Ili uweze kufika hatua ya juu zaidi ya hapo ulipo sasa, ni lazima kufanya vitu viwili vifuatavyo kama unataka kwenda mbele. Moja, ni lazima uanze kufikiri tofauti sana na unavyofikiri sasa. Akili yako inatakiwa muda wote kufikiri kama mshindi, kuwa tofauti kifikra kwa kufanya kile unachofanya mara kumi. Unapojiongeza kifikra hata mwili wako unatii na …

Kinachoendelea Ndani Yako Kinaonekana Kwa Nje

Mwandishi Earl Nightingale aliwahi kunukuliwa akisema, kinachoendelea ndani yako kinaonekana kwa nje. Kile unachofikiri kinaamua ni nini utafanya. Kila unachofikiri kila mara kitaamua ni wapi utakapoishia na maisha yako. Hapo wala hakuna ubishi. Mawazo yako unayowaza yawe ni chanya au hasi ndiyo yanakufanya wewe uonekane hivyo ulivyo. Ukifikiria mawazo ya kujenga, utaona matokeo mazuri unayotaka …

Sababu Moja Kubwa Kwa Nini Watu Wengi Wanashindwa Kufikia Malengo Yao

Iko sababu moja kubwa inayowafanya watu wengi kushindwa kufikia malengo yao na kufanikiwa. Sababu hiyo moja ni kushindwa kuweka juhudi zinazohitajika. Chunguza watu wengi wana ndoto kubwa lakini juhudi wanazoweka haziendani na ndoto walizonazo. Wengi hawapo tayari kujitoa kweli na kuweka juhudi mara kumi ya vile walivyozoea kuweka. Hatimaye biashara zinakufa, afya zinazorota mahusiano yanavunjika …

Jinsi Ya Kupata Mabadiliko Ya Kweli

Mabadiliko ya kweli yanaleta mafanikio ya kweli. Fanya mabadiliko ya kweli kwenye maisha yako ili upate mafanikio ya kweli. Nimekuandalia mabadiliko 250 ya ushindi yatakayokusaidia mwaka wako uwe mwaka wa ushindi. Kila siku unasoma badiliko moja na unaenda kuchukua hatua, mabadiliko haya yana nguvu sana. Usijicheleweshe kupata kitabu hiki kuwa sehemu ya washindi mwaka 2022 …

Amua Kumiliki Maisha Yako

Ili kufikia mafanikio makubwa, ni lazima uamue kumiliki maisha yako. Amua kwamba wewe ndiyo mkurugenzi wa maisha yako na wala huhitaji leseni ya kuendesha maisha yako kama ilivyo biashara. Amua kwamba chochote kinachotokea kwenye maisha yako ni wewe umesababisha. Kwa mfano, kama umepata hasara kwenye biashara ni wewe ndiyo umesababisha, hata kama kuna mtu kaiba …

Karibu Sana Ujiunge Na Klabu Ya Mimi Ni Mshindi Nimezaliwa Kushinda

Je, unataka kuishi maisha ya kiushindi katika maisha yako? Karibu sana kwenye Mimi Ni Mshindi Nimezaliwa Kushinda Klabu uweze kujifunza mambo mazuri yatakayokuwezesha KUCHUKUA HATUA lakini pia kuwa bora. Karibu sana tufanye kazi pamoja, ukijiunga leo utapata zawadi ya masomo ya Semina ya kuanza mwaka 2022 kiushindi. Nitumie ujumbe kwa wasapu kwenda namba 0717101505 ili …

Je, Unajua Njaa Ya Mwenza Wako

Je, unajua Njaa ya mwenza wako? Kama hujui basi utakua humshibishi na madhara ya mtu kuwa na njaa ni makubwa. Hakikisha unamshibisha mwenza wako vizuri na siyo kumwacha akiwa na njaa. Sasa utajuaje njaa ya mke au mume wako? Majibu ya swali hilo utayapata kupitia kitabu cha Ijue Njaa Ya Wanandoa, kwanini unavumilia maisha ya …

Neema Tumepewa Bure, Ili Upate Baraka Unapaswa kufanya Hiki

Kila mmoja wetu amepewa neema bure kabisa lakini vipi kuhusu baraka? Baraka nayo ni nguvu ya asili inayofanya kazi ndani yetu. Baraka huwa haiji kama neema, ili upate baraka unatakiwa kufanya kazi. Baraka inapatikana kwa kufanya kazi, kwa kufanya kitu fulani ndiyo uweze kuipata. Bila kufanya kitu baraka haiwezi kukupata. Kwa mfano, tunapata baraka pale …

Design a site like this with WordPress.com
Get started