Hili Ndilo Hitaji La Kwanza La Mwanadamu Katika Maisha Yake

Habari Mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini uko vizuri na umeanza wiki hii kwa hamasa ya kwenda kuongeza thamani kwenye kile unachofanya. Mpendwa msomaji na rafiki yangu napenda kukualika tena katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwa pamoja. Je unajua leo nimekuandalia nini rafiki? Tusafiri pamoja mpaka mwisho wa makala …

Fanya Tathimini Hii Muhimu Sana Kabla Hujaenda Kulala Leo

Habari Mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini hujambo rafiki na karibu katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwa pamoja. Watu wengi wanafanya kazi na kuishi hapa duniani lakini wanakosea kitu kimoja muhimu ambacho ni kujifanyia tathimini au kujichunguza mwenendo mzima wa maisha yake kuanzia kimwili, kiroho na kiakili. Kama unaamka …

Mambo Ishirini (20) Niliyojifunza Katika Kitabu Cha A Notes From A Friend

Habari Mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? natumaini hujambo na unaendelea vizuri. karibu katika makala yetu ya leo ambapo leo tutajifunza uchambuzi wa kitabu cha A notes from a friend kilichoandikwa na mwandishi Anthony Robbins. karibu rafiki nikushirikishe mambo niliyojifunza kupitia kitabu hiki. Mambo 20 niliyojifunza katika kitabu cha A Notes From …

Hizi Ndio Faida Kumi (10) Za Msamaha Katika Maisha Yako

Habari Mpendwa rafiki na Msoamji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini unandelea vizuri katika shughuli zako za kila siku. Hongera sana rafiki kwa kuwa na siku hii bora na ninatumaini umeanza siku yako kwa hamasa na kwenda kutekeleza majukumu yako ya kila siku. Mpendwa rafiki, karibu katika makala yetu ya leo ambapo leo tutajifunza faida …

Hiki Ndio Kitu Rahisi Sana Kukwepa Katika Maisha Yako Lakini Ni Ngumu Kukwepa Matokeo Yake

Habari Mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini unaendelea vizuri na karibu tena katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwa pamoja rafiki yangu. Unatakiwa kuchagua kuanza siku yako kila siku kwa furaha na hamasa kubwa hii ndio dalili ya kupata ushindi katika siku yako husika. Lakini ukichagua kuanza siku yako kwa …

Hiki Ndio Kitabu Kizuri Ambacho Watu Wengi Wanakipenda Na Wanaweza Kukiandika Katika Maisha Yao

Habari Mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini uko buheri wa afya rafiki yangu. Endelea kupambana bila kuchoka mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema utalala na utapumzika sana ukiwa kaburini. Hivyo basi, duniani ni sehemu ya kupambana na siyo ya kupumzika.   Mpendwa Rafiki, karibu tena katika siku hii ya leo ambayo ni siku …

Huu Ndio Uwekezaji Muhimu Unaoweza Kuanza Nao ambao Mtaji Wake Tayari Unao

Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini unaendelea vema rafiki yangu bila kusahau kukua kila siku. Kila siku unatakiwa kuwa bora zaidi ya jana na achana na ile kauli inayosema hivi kila siku ni afadhali ya jana hii kauli ni ya watu wenye mtazamo hasi. Kila siku ni zawadi kutoka kwa …

Ifahamu Falsafa Muhimu Sana Katika Maisha Yako Kutoka Kwa Mwanafalsafa Ralph Waldo Emerson

Habari mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini hujambo rafiki yangu na karibu tena katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwa pamoja. Mpendwa rafiki usiache kujifunza kila siku na kuishi maisha ya maana. Maisha ya maana ni maisha yeye mchango kwa watu wengine. Kama unaweza kula kila siku hakikisha pia unalisha …

Hii Ndio Maana Halisi Ya Ongea Na Watu Uvae Viatu

Habari Mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Karibu katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwa pamoja. Kila mtu unayekutana naye ni fursa kwako ambapo unaweza kuchota kitu kipya kutoka kwake. Huwezi kuendelea bila watu katika hii dunia kwani watu ndio rasilimali muhimu sana wanaokuwezesha wewe kutimiza malengo yako. Unapokutana na rafiki …

Hii Ndio Tofauti Kubwa Kabisa Kati Ya Kusikia Na Kusikiliza

Habari mpendwa Rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo ? natumaini unaendelea vizuri rafiki yangu na karibu katika makala yetu ya leo ambapo leo tutajifunza kwa pamoja tofauti kubwa kati ya kusikia na kusikiliza. Dunia ya sasa imejaa kelele nyingi. Na changamoto kubwa ni kupata mtu wa kukusikiliza kwani watu wengi wako bize na …

Design a site like this with WordPress.com
Get started