Habari ya wakati huu mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini unaendelea vizuri rafiki yangu na hongera kwa kuwa na mwisho wa juma mzuri ambao ni muda mzuri kwako kupangilia wiki yako ya kesho unataka iendeje. Usianze siku bila kuandika malengo ya siku husika na wiki nzima kwa ujumla. Malengo yanatakiwa yaandikwe …
Continue reading “Njia Bora Na Ya Kipekee Inayoweza Kuokoa Utajiri Wa Akili Yako”