Hii Ndio Faida Ya Kusikiliza Sauti Yako Ya Ndani Na Kuacha Kusikiliza Sauti Za Nje

Habari Mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini unaendelea vema katika shuguli zako za kila siku. Natumaini umeamka na malengo ya siku ya leo rafiki kuamka bila malengo na kutokuwa na ratiba ni njia ya kupoteza muda hivyo basi, ni vema sana unapoamka unakuwa na malengo na ratiba itakayokuongoza katika siku nzima. …

Huu Ndio Ukombozi Wa Akili Unaopaswa Kua Nao Kuanzia Sasa Kwenye Maisha Yako

Habari Mpendwa Rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini umeamka salama katika siku hii ya leo hivyo basi, hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya siku hii ya leo. Karibu mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao huu katika makala yetu ya siku ya leo ambapo leo tutajifunza utumwa wa akili unaopaswa kuuacha …

Hili Ndilo Jambo Muhimu La Kuzingatia Kabla Ya Kutoa Hukumu Kwa Wengine

Habari Mpendwa Rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini uko vizuri na unaendelea vema na shughuli zako za kila siku. Kama hauko vizuri rafiki pole nakuombea upate nafuu ya haraka na urudi katika hali yako ya kawaida. Kuna msemo unasema hivi rafiki, kama umeamka na huna malengo ya siku basi rudi kitandani ukalale. …

Hii Ndio Mbinu Bora Ya Ushindani Itakayokuwezesha Kushinda Katika Kile Unachofanya Kila Siku

Habari Mpendwa Rafiki na Msoamji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matuamini yangu hujambo na umeianza wiki yako kwa furaha na hamasa ya kwenda kufanya kazi na kutegemea kupata matokeo bora. Chagua kila siku kuwa na furaha kwani unapokuwa una furaha utawavutia hata wale waliokuwa na huzuni kuwa na furaha. Usiwe na kisirani cha kununa …

Hili Ndilo Tatizo Linalowasumbua Watu Wengi Kushindwa Kutimiza Ndoto Zao

Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa wa Kessy Deo, natumaini uko salama rafiki yangu na unaendelea vizuri kuboresha maisha yako lakini pia kuwasaidia wengine kwa namna moja au nyingine. Mpendwa rafiki, ungana nami katika makala yetu ya leo tuweze kuanza pamoja hadi tamati ya makala hii. Kila mtu anahitaji kuwa na maisha mazuri …

Mambo Ishirini (20) Niliyojifunza Katika Kitabu Cha The Leader Who Had No Title

Habari Mpendwa Rafiki na Msomaji wa Kessy Deo. Natumaini hujambo na unaendelea vizuri. Karibu Rafiki nikushirikishe mambo muhimu niliyojifunza katika kitabu cha The Leader Who Had No Title. Mambo 20 niliyojifunza katika kitabu cha The Leader Who Had No Title na Robin Sharma ni kama ifuatavyo; Utangulizi: Robin Sharma ni mwandishi mashuhuri duniani aliyejitoa katika …

Hili Ndilo Jambo Muhimu Ambalo Unaweza Kulifanya Hata Wewe Kwenye Maisha Yako

Habari Mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu uko salama na unaendelea vizuri kuitendea haki zawadi ya siku hii ya leo. Chagua leo kuwa hii ni siku yako ya ushindi. Chagua kuwa na furaha siku hii ya leo na ishi katika mtazamo chanya siku zote. Karibu rafiki katika makala yetu …

Hizi Ndio Faida Za Kunyoosha Mapito Unayopitia Kwenye Maisha Yako

Habari Mpendwa Rafiki na Msomaji wa Mtandao wa Kessy Deo? Natumaini unaendelea vizuri rafiki na umeianza siku yako vizuri sana kwa hamasa nakutegemea kupata matokeo chanya. Napenda kukualika ndugu msomaji katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwa pamoja nakusihi kuwa nami mwanzo hadi mwisho wa makala hii. Katika maisha yetu ya kila siku watu …

Huu Ndio Ushuhuda Wa Kweli Wa Mtu Aliyekosa Kazi Kwasababu Ya Kukosa Kigezo Hiki

Habari  Mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa uko salama na unaendelea vizuri katika shughuli zako za kila siku. Karibu ndugu msomaji katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwa pamoja.        SOMA; Hizi Ndizo Faida Za Kufunga Ndoa Na Utajiri Na Kuupa Umasikini Talaka Ukijihisi unaweza kufanya …

Hizi Ndio Faida Za Kuweka Miadi Kwenye Maisha Yetu Ya Kila Siku

Habari mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Leo ni siku nyingine mpya kabisa natumaini umeamka salama rafiki na unakwenda kuongeza thamani katika kazi na siyo kufanya kazi kimazoea. Karibu rafiki katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwa pamoja. Katika karni hii ya ishirini na moja (21) ambapo dunia iko katika zama …

Design a site like this with WordPress.com
Get started