Design a site like this with WordPress.com
Get started

Hiki Ndiyo Kitu Kinachotusaidia Bila Hata Sisi Kujua

Natumaini imeshawahi kukutokea siku moja au mara nyingi umepanga kwenda sehemu fulani kwa muda fulani halafu likatokea jambo ambalo hata hukutegemea na ukajikuta umechelewa sehemu husika. Hiyo haitoshi, siku nyingine unajikuta unamuwaza rafiki yako au mtu fulani kabla hata hujajua la kufanya utashangaa yule mtu uliyekuwa unamuwaza anakupigia simu au kuja nyumbani uliko na unamwambia …

Sababu Kuu Moja Kwanini Unatakiwa Ujisukume Wewe Mwenyewe

Mpendwa rafiki yangu, Katika maisha yetu ya kila siku jifunze kujitegemea, tunapokuwa tunajitegemea katika mambo yetu ni ngumu watu wa nje kutuangusha. Unatakiwa kutambua kuwa jukumu la maisha yako ni lako mwenyewe hivyo usisubiri watu waje wakupambanie. Je kwanini unatakiwa ujisukume mwenyewe  au ujitume? Iko sababu kuu moja ambayo imenihamasisha siku hii ya leo nikuandikie …

Huu Ndiyo Mfumo Mzuri Wa Mafanikio Wa Kuishi Kila Siku

Tumekuwa ni kama wakulima ambao wanapanda leo na kesho wanafukua hata kabla mbegu haijaota. Hebu chukulia mfano, mkulima anapanda leo mbegu ya mahindi kesho anaifukua na kutaka tena kwenda kupanda kitu kingine. Je kwa mtindo huu, unafikiri ataweza kufanikiwa kweli? Ataweza kuona hata mbegu ikichipua? Hawezi kuiona, unapopanda unatakiwa uwe na subira mbegu ikae chini …

Hasara Moja Utakayoipata Pale Utakapoianza Siku Yako Bila Kipaumbele

Mpendwa rafiki, Usipopangilia muda wako vizuri utaishia bila kujua umefanya nini cha maana na huku ukijikuta umechoka. Ukianza siku yako kwa kutumikia mitandao ya kijamii, bila kujipangilia wewe mwenyewe yale muhimu kwako ni lazima utapoteza siku yako. Kiufupi rafiki yangu, hasara moja utakayoipata pale utakapoianza siku yako bila kipaumbele ni ; Kila kitu kitakuwa kipaumbele …

Jinsi Ya Kuandika Upya Hadithi Ya Maisha Yako

Kila mtu ana uwezo mkubwa sana ndani yake lakini watu wengi hawatumii vizuri uwezo mkubwa walionao. Ni kama vile watu wanavyoenda kununua kompyuta yenye uwezo mkubwa kusikiliza mziki. Hapa tunakuwa tunaua uwezo wa kompyuta kwa sababu ina uwezo mkubwa wa kufanya mambo lakini wewe unaitumia kwa kusikiliza mziki pekee. Ndivyo ilivyo hata sisi katika maisha …

Sababu Mbili Zitakazokufanya Ushindwe au Ushinde Kwenye Jambo Lolote

Mpendwa Rafiki yangu, Sisi wenyewe huwa tunachangia sana maisha yetu au sisi binafsi kuwa kama tulivyo leo. Kama ni mafanikio makubwa au hali ngumu kwenye maisha yetu sisi ndiyo tumekuwa chanzo namba moja. Hadithi ni nyingi sana kwenye maisha yetu. Kila mtu ana hadithi yake ambaye akikuelezea unaweza kujifunza kitu fulani. Tumepewa uwezo mkubwa na …

Kwenye Jambo Lolote Hakikisha Unakuwa Na Kitu Hiki

Mpendwa rafiki yangu, Mara nyingi kila kitu hapa duniani kinaongozwa na kanuni za asili. Huwa tunapokuwa tunakwenda kufanya kinyume na kanuni za asili, asili huwa inatuadhibu vibaya bila huruma. Kila kitu kwenye maisha yetu kinahitaji kiasi. Na kiasi ndiyo asili sasa ya dunia. Tunapozidisha sana asili huwa haituachi salama. Hebu angalia sana, yule anayekula sana …

Jinsi Ya Kujiongezea Matatizo

Mpendwa rafiki yangu, Laiti kama kila mmoja wetu angekuwa anafanyia kazi yale anayoongea basi leo hii kila mmoja angekuwa na mafanikio makubwa. Tumekuwa ni watu wa kupanga na kuishia kuongea kwenye midomo yetu lakini hatuifanyii kazi yale malengo yetu. Tumekuwa ni watu kupika matatizo yetu sisi wenyewe. Tunajua nini tunatakiwa kufanya lakini hatufanyi. Kuepuka kufanya …

Jinsi Ya Kuwasha Moto Wa Hamasa Ndani Yako

Watu wengi wanaamua kufanya kitu fulani kwa sababu ya hamasa. Hamasa iliyoko ndani yetu ndiyo inatusukuma kuthubutu jambo fulani. Mara nyingi pale tunapokuwa na hamasa ya kazi fulani tunakuwa kama vile tuna moto ndani yetu unaowaka na hatuwezi kuuzima kwa kuongea bali kwenda kufanya kile ambacho kipo ndani yetu. Na muda mzuri wa kufanikiwa jambo …

Hili Ndiyo Eneo Ambalo Unapaswa Kujisalimisha ili Uweze kufanikiwa

Rafiki, Je umejitoa kweli kupata kile unachotaka? Je mafanikio makubwa unayotaka yanaendana na hatua unazochukua? Huenda unapenda mafanikio lakini matendo yako hayaendani na mafanikio. Unakuwa bado hujajisalimisha kwenye kile unachotaka. Ili uweze kufanikiwa unatakiwa kujisalimisha yaani, kujitoa kwenye kile unachotaka. Kama unataka kufanikiwa jisalimishe kwenye mambo ambayo yanahusiana na mafanikio. Jisalimishe kwenye kile unachotaka, kama …