Kila mmoja wetu anakutana na changamoto mbalimbali katika maisha yetu. Ziko zile changamoto ambazo ziko ndani ya uwezo wetu na zile ambazo ziko ndani ya uweze wetu.Kitu ambacho watu wengi huwa wanafanya pale wanapokutana na changamoto ni kutaharuki. Unaporuhusu akili yako kutaharuki basi utulivu wa akili unapotea. Tulia, vuta pumzi ndani na kutoa nje. Chukulia …
Sijui Hata Nifanye Nini Kwa Huu Muda
Rafiki yangu, Isije ikatokea hata siku moja kwenye dakika yoyote ya maisha yako ukasema sijui hata nifanye nini kwa muda huu kwani utapoteza muda unaojiuliza kwa namna hiyo.Watu wa kawaida huwa wanafikiria jinsi gani watatumia muda wao, watu wenye akili huwa wanafikiria jinsi gani watawekeza muda wao.Kila siku wekeza muda wako kwenye mambo ya maana. …
Ukarimu Unaachilia Baraka
Hapo zamani za kale katika historia ya maandiko kulikuwa na Sara pamoja na Ibrahim.Sara na Ibrahim walikaa kwa muda bila hata kupata watoto. Na kwa umri waliokuwa nao ilikuwa ni kazi sana hata tu kibailojia kupata mtoto.Hata wao wenyewe walijua wazi ya kwamba hawatapata mtoto kwa umri walio nao.Sina uhakika kama itakufaa lakini njia za …
Kila Sehemu Itakuwa Ngumu Kama Wewe Mwenyewe Hutakuwa Mgumu
Watu wengi wanafikiri kwamba kwa sababu pale walipo sasa ni pagumu na wataweza kwenda sehemu nyingine ambapo ni rahisi.Kifupi ni kwamba, kila sehemu Itakuwa ngumu kama wewe mwenyewe hutakuwa mgumu. Mafanikio kwenye maisha ni uwezo wako wewe kupambana na changamoto, kuvuka magumu na kutokukata tamaa.Kama hutakuwa mgumu kwenye maisha ni ngumu kutoboa kwa sababu hutadumu. …
Continue reading "Kila Sehemu Itakuwa Ngumu Kama Wewe Mwenyewe Hutakuwa Mgumu"
Unataka Maisha Au Mafanikio?
Kama unataka mafanikio makubwa, basi pambana na elimu binafsi. Ila kama unataka kuwa na maisha ya kawaida basi elimu ya darasani inatosha kukupa maisha. Ukiendelea kutegemea elimu ya darasani, itakutesa, ili maisha yasikutese usitegemee tu elimu ya darasani bali jiongeze kwa kutafuta maarifa binafsi. Elimu ya darasani itakuwezesha kupata kazi ya kawaida, ambayo itakupa maisha …
Hii Ndiyo Adhabu Mbaya Kuliko Zote Duniani
Ni bora mtu achukue fimbo akuadhibu kuliko akuadhibu kwa njia ya kupuuzwa. Kupuuzwa ni adhabu mbaya kuwahi kutokea. Ni adhabu ambayo inakuwa inakunyanya kiakili. Ukishakuwa mtu wa kawaida kwenye maisha yako, dunia lazima itakupuuza. Ukiwa kawaida kwenye ndoa yako, mke au mume atakupuuza. Jitahidi kuwa mtu ambaye unaenda hatua ya ziada ili usipuuzwe na mwenza …
Continue reading "Hii Ndiyo Adhabu Mbaya Kuliko Zote Duniani"
Watu Huwa Wanathamini Kitu Hiki
Kitu chochote ambacho huwa kinapatikana kiurahisi watu huwa hawakithamini hata siku moja. Kama kitu kinapatikana kiurahisi watu wanakuwa hawakipi umakini tu kitu hicho kwa sababu wanajua wakitaka watakipata. Watu Huwa wanathamini kile ambacho hakipatikani kwa urahisi. Watu wanapenda uhaba, kile ambacho ni adimu watu wanakithamini sana na kukipambania. Jifunze kujiongeza thamani kwenye maisha yako. Kuwa …
Kama Kuna Kitu Hukipendi Kibadili Wewe Siyo Mti
Mwanafalsafa Jim Rhon aliwahi kunukuliwa akisema, kama hupendi jinsi vitu vilivyo, vibadili, wewe siyo mti. Kwenye jamii yetu watu wanalalamika, watu wanapokosa kitu njia pekee ya kujifariji ni kulalamika. Badala ya kuchukua hatua, wao kulalamika ndiyo njia kwao. Kama maisha yako unayoishi huyapendi, yabadilishe wewe siyo mti badala ya kutumia muda wako kulalamika.Kama ni kazi …
Continue reading "Kama Kuna Kitu Hukipendi Kibadili Wewe Siyo Mti"
Usipolipa Uzito Litapita
Mambo mengi ambayo unayapa uzito ndiyo huwa yanatokea kweli maisha yako.Yale ambayo huyapi uzito, yanapita tu yenyewe. Chochote ambacho unakipa umakini kwenye maisha yako ndiyo huwa kinatokea kweli. Kumbe, hata zile changamoto ambazo huwa tunazipuuzia huwa hazitusumbui. Jambo lolote ambalo hulipi uzito kwenye maisha yako huwa linapita lenyewe. Binadamu tumeumbiwa kusahau, laiti kama kila kitu …
Kifo Cha Mafanikio
Kile ambacho kimezoeleka kufanyika ndiyo kifo cha mafanikio. Kama unafanya kile ambacho kila mtu anafanya, kwa mtindo ule ule halafu unategemea kupata matokeo tofauti tegemea kupata anguko hapo.Watu wengi wanaoleta mazoea wanayazika mafanikio yao mapema.Watu wengi wanaoshindwa huwa wanafanya vitu vinavyofanana, lakini wanaofanikiwa wanaofanikiwa vitu vya tofauti. Watu wanatofautiana kwenye masaa ya kufanya, namna wanavyoendesha …