Habari ya wakati huu mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini uko salama na umekuwa na mwisho mzuri wa juma na kama leo ndio mwisho wa juma basi ndio mwanzo mzuri wa maandalizi ya juma au wiki ya kesho. Leo ni siku nzuri ya kufanya tathimini ya wiki nzima yaani mipango na …
Continue reading "Fahamu Kitu Muhimu Ambacho Familia Yako Inakosa"